Wizi wa EPA na Ufisadi ni wa kisayansi zaidi si wa kutumia mabavu wala nguvu.Polisi, TAKUKURU na mahakama vinatosha sana kukiwa na dhamira ya dhati ya mkuu wa nchi
Tatizo tulilonalo ni kuzoeleka kwa rushwa ambayo imezaa ufisadi kiasi kuwa kila mfanyakazi anatamani kupata nafasi .Ukiona mtu anapiga kelele ya mafisadi hajapata mwanya
3.Kusaidia mamlaka zingine za kiraia na kushirikiana na vyombo vingine vya usalama ktk majanga mbalimbali kama ajali,mafuriko,migomo,na kutuliza ghasia kubwa.
Ni kufanya maonyesho kwenye sherehe za kitaifa?
Hawa komandoo wanaifanyia nini Tanzania kwa wakati huu ambao nchi ina amani (haina vita)?
Kila uchao benki zinavamiwa. Polisi wanapata taarifa kwamba majambazi wanasilaha. Wanapotezea. Komandoo hawawezi kutumika kwenye mazingira haya?
Wizi wa uporaji magari na fedha za wafanyabiashara unafanyika kila kona. Komandoo hawawezi kutumika hata kuwakimbiza, kama Polisi wanaogopa?
Wanyamapori kama vile Tembo wanauawa sana. Serikali nonsense!
Ni kufanya maonyesho kwenye sherehe za kitaifa?
Hawa komandoo wanaifanyia nini Tanzania kwa wakati huu ambao nchi ina amani (haina vita)?
Kila uchao benki zinavamiwa. Polisi wanapata taarifa kwamba majambazi wanasilaha. Wanapotezea. Komandoo hawawezi kutumika kwenye mazingira haya?
Wizi wa uporaji magari na fedha za wafanyabiashara unafanyika kila kona. Komandoo hawawezi kutumika hata kuwakimbiza, kama Polisi wanaogopa?
Wanyamapori kama vile Tembo wanauawa sana. Serikali inapeleka "mgambo" kwa jina la askari wa kulinda wanyama pori. Kwanini komandoo wasitumike?
Ajali za baharini zinatokea. Wanaanchiwa wavuvi kusaidia uokozi. Kwanini komandoo wasitumike, wakati wao wamepata mafunzo ya juu kabisa ya usalama na uokoaji?
Au kazi yao ni kutumika kwenye vikosi vya umoja wa mataifa tu?
Sina uhakika iwapo hata hao makomando tunao leo
wapo.Sina uhakika iwapo hata hao makomando tunao leo
wanafanya nini huko kambini wakati kuna mambo mengi yanaharibika?Nenda 92kj morogoro utawakuta
sawa.nenda jeshini kaone shughuri zao
polisi wameshindwa. ni benki gani imevamiwa polisi wakafanikiwa kuweka mambo sawa?kama makomando wakifanya hzo kaz za kuzuia uwiz wa mabenki uporaji n.k...jeshi la polisi litakua na kaz gan sasa nchini..?...
Macomandoo kwanini wasitumike hata mle benki kuu kuzuia wizi kama wa Epa?au TRA kuzuia mambo ya ufisadi.
Ni kufanya maonyesho kwenye sherehe za kitaifa?
Hawa komandoo wanaifanyia nini Tanzania kwa wakati huu ambao nchi ina amani (haina vita)?
Kila uchao benki zinavamiwa. Polisi wanapata taarifa kwamba majambazi wanasilaha. Wanapotezea. Komandoo hawawezi kutumika kwenye mazingira haya?
Wizi wa uporaji magari na fedha za wafanyabiashara unafanyika kila kona. Komandoo hawawezi kutumika hata kuwakimbiza, kama Polisi wanaogopa?
Wanyamapori kama vile Tembo wanauawa sana. Serikali inapeleka "mgambo" kwa jina la askari wa kulinda wanyama pori. Kwanini komandoo wasitumike?
Ajali za baharini zinatokea. Wanaanchiwa wavuvi kusaidia uokozi. Kwanini komandoo wasitumike, wakati wao wamepata mafunzo ya juu kabisa ya usalama na uokoaji?
Au kazi yao ni kutumika kwenye vikosi vya umoja wa mataifa tu?
Nimeelewa kwamba komandoo hawezi kupambana na jambazi. Yaani jambazi anamchakaza komandoo.Ndugu yangu kila kikosi cha ulinzi na usalama kina kazi zake,hao makomando ukiwapeleka katika kupambana na majambazi watauawa wote kwa sbbu hawana mbinu za kupambana na majambazi,bado itabaki kuwaachia polisi kushuhulikia wahalifu,wanajeshi kazi zao kulinda mipaka na kupambana na adui atokae nje na sio kudil na uhalifu hakuna mitaala hiyo ktk mafunzo yao,wala usalama wa taifa hawezi kufanya kazi za upelelezi za polisi,wala kulinda mipaka km wanajeshi,kwa hiyo bado itabaki kila kikosi na kazi zake ukiwapa kazi nyengine na kikosi kingine ndio yanaanza kutokezea matatizo,kwa hapo nadhani umeelewa.
wapo.
wanafanya nini huko kambini wakati kuna mambo mengi yanaharibika?
sawa.
polisi wameshindwa. ni benki gani imevamiwa polisi wakafanikiwa kuweka mambo sawa?
Usiende wewe watakunyonyoa...