Komandoo wa Tanzania wana kazi gani?

makomando watu, kazi yake anayeijua ni pk na banda wa malawi, tusingekuwa na jeshi imara,choko choko zao unaona zilipoishia? Ukiwa umekaa nyumbani huwezi jua kitu kinachoendelea,pia kumbuka kazi yao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu.
 
Hatuna jeshi imara wewe tumebaki na majigambo jeshini ma spy kibao wamepenyezwa na nchi jirani ndio maana wanakuwa na kiburi cha kututukana wazi wazi jeshi letu limejaa ufisadi dhuluma na undugu ndio style ya vyombo vya usalama tz siku hiZi nenda polisi TISS nk kote kuko hovyo
 
Macomandoo kwanini wasitumike hata mle benki kuu kuzuia wizi kama wa Epa?au TRA kuzuia mambo ya ufisadi.

Makomandoo wa tanzania wanatumia nguvu nyingi akili kidogo.. wamefundishwa kupasua mbao na matofali.. sasa kule benki wizi ni wa akili nyingi nguvu kidogo.. makomando hawawezi kuzuia akili nyingi zinazotumiaka kama wizi wa EPA
 
Alafu tumebaki kukaririshwa eti tuna jeshi zuri mara tuna usalama wa taifa mzuri yoote hayo tanakaririshwa tu yale ya miaka ya sabini enzi za nyerere but in reality sisi ni vilaza namba moja EA
1.mfano tungekuwa na vyombo vizuri vya ulinzi na usalama kusinge kuwa na wizi wa mabilion ya shilingi benki kuu,taasisi za serikali na mashirika ya umma
2.jeshi la polisi na usalama wa taifa wasingekuwa mstari wa mbele kujuhusisha na siasa tena kwa kuibeba ccm na maovu yake
3.wangekuwa imara tusingeona wezi wa mabilion wanatamba mtaani
Halafu tumebaki kujisifu sifu kijinga hapa et watatu afrika mara sijui wanne ------- wazungu kila siku wanatoroka na matofali ya dhahabu migodini huko
 
Neno Special Forces lina maana ya "kipekee".. kuna mgawanyo wa kimajukumu kwenye utendaji popote pale.. Ili komandoo afuzu the last exercise tunaitaga Plane drop.. au kuruka na mwamvuli lazima awe paratrooper sasa ukipiga mchanganuo mzima wa kumtrain mtu mmoja unakuja kwenye cost ya kama million 100 na una watrain 200 kwa mwaka halaf una wapeleka wakakimbize wezi mtaani wakat kuna Polisi, vijana wa Ulinzi Shirikishi & other vigillante groups..
 
All that we have are those who could do high jumping? Well training specialized soldiers is damnly expensive as you say. Lakini mtoa thread naona hajui matumizi ya hawa jamaa. Anataka nao wawe wanaongoza foleni mjini kama trafiki labda ataridhika.!!! Ninachojua training zao zinaenda zaidi ya paratrooping...ndio maana Israel kuna wale jamaa wanaitwa Sarayet Metkebal, USA Navy Seals, UK wapo SAS....they handle more than working behind enemy lines
 
Makomandoo wa tanzania wanatumia nguvu nyingi akili kidogo.. wamefundishwa kupasua mbao na matofali.. sasa kule benki wizi ni wa akili nyingi nguvu kidogo.. makomando hawawezi kuzuia akili nyingi zinazotumiaka kama wizi wa EPA

Si kweli mkuu...in the military parade that ia how they display their skills...Angalia Russians Spetsnaz wanafanya nini kwenye public displays wanazofanya...no difference with ours
 
unawaongelea makomando gani?? kwani Tanzania tuna makomandoo wawili,
KOMANDOO HAMZA KALALA na
KOMANDOO JIDE
 
Makomando wetu wamekuwa wajasiriamali, wanatafuta pembe za ndovu kila kukicha..
 
Very low thinking.
 
Very low thinking.

Mkuu Schiendler,Bigup sana kwa comment yako.Inasikitisha mtu anaandika vitu asivyokuwa na uelewa navyo.Mbaya sana kwa mtu kuhukumu kwa kitu usichokijua.Acheni kudharirisha hao jamaa.Laiti kama mngalijua japo kidogo tu umuhimu na thamani ya hao jamaa kwa nchi,wala msingalitoa hizo comment huko juu.
 
Kwa bisibisi hahaha
 
makomando watu, kazi yake anayeijua ni pk na banda wa malawi, tusingekuwa na jeshi imara,choko choko zao unaona zilipoishia? Ukiwa umekaa nyumbani huwezi jua kitu kinachoendelea,pia kumbuka kazi yao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu.
Hivi lile dege lililoiba wanyama wetu lilipita kwenye mipaka yetu au walibaki kwenye anga la kimataifa halafu wakatuibia kwa bluetooth??! Hao walinzi wa mipaka walikuwa wameenda likizo wote?!
 
Kijeshi mlinzi wa kwanza ni MUNGU

MLINZI WA PILI NI KOMANDOO

HAWA NI KIKOSI MBADALA / CHA ZIADA
 
Mkuu asante sana ,na hili ndilo wanalo liweza kwa asilimia 100%..
 
Pamoja sana mkuu wengine huwa hawaelewi
 
Pamoja sana mkuu wengine huwa hawaelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…