Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
Exaud,
Nasikitika kuikosa mechi yetu lakini sasa natazama hii inayoendelea kupitia Super Sport 3.
Bao ni moja bila RWANDA 0 - ZIMBABWE 1
ha ha ha ha ok....! nilikua na maana ya CANAVARO wa Zbar Heroes
ni semi au quarter final?
ha ha ha ha ok....! nilikua na maana ya CANAVARO wa Zbar Heroes
Final
Hawa jamaa kila kukicha wanazidi kuimarika wanakuwa wazuri sana. Natabiri wanaibuka kidedea maana tuna mashine mbili kule duh Abdi Kasimu babi na Canavaro lol
Mpwa lakini mpoira wa leo umeuonaje? Pale mtu n Mrisho Ngasa manake kuna goli la tatu lile ilikuwa si mchezo
Hofu nyingine hiyo ondoaLakini mm wewe sikuelewi naona kama una rangi ya damu damu hivi!
walivyokutana juzi ulipigwa upi?halafu utapigwa wimbo gani wa Taifa!
What?
it may not necessarily be you, but some who might capitalize on your comment.yapi kuuliza nchi 1 timu mbili?....i have no political interest nor will I ever have.
kili starz 3 eritrea 0
Vp matokeo jamani??
Pole sana Bantu kuikosa mechi iliyotangulia.
Atakayeshinda hapa atacheza na Taifa stars nusu fainali siyo?.