Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

Exaud,

Nasikitika kuikosa mechi yetu lakini sasa natazama hii inayoendelea kupitia Super Sport 3.

Bao ni moja bila RWANDA 0 - ZIMBABWE 1

Pole sana Bantu kuikosa mechi iliyotangulia.
Atakayeshinda hapa atacheza na Taifa stars nusu fainali siyo?.
 
Hawa jamaa kila kukicha wanazidi kuimarika wanakuwa wazuri sana. Natabiri wanaibuka kidedea maana tuna mashine mbili kule duh Abdi Kasimu babi na Canavaro lol

Mpwa lakini mpoira wa leo umeuonaje? Pale mtu n Mrisho Ngasa manake kuna goli la tatu lile ilikuwa si mchezo

That said, Kili stars wanatakiwa waimarishe safu ya ushambuliaji ama ni upangaji mbaya wa timu?
 
Mpwa lakini mpoira wa leo umeuonaje? Pale mtu n Mrisho Ngasa manake kuna goli la tatu lile ilikuwa si mchezo

Hahahaha mpwa bana mm nilikuwa nakula live kwa radio vp ulikuwa Titanic nn mpwa? hahahaha tayari umesha tia nanga duh. Hawa wa zenji wanaimarika kila kukicha
 
yapi kuuliza nchi 1 timu mbili?....i have no political interest nor will I ever have.
it may not necessarily be you, but some who might capitalize on your comment.
 
Mrisho Ngasa mwanangu mwenyewe katungua 3 katika hizo 4. Maximo mwenyewe pale alipokuwa alikuwa anajisikia kupaa, maana wanoko walishamdis kishenzi ati anaua timu, sijui leo watasemaje!
 
Pole sana Bantu kuikosa mechi iliyotangulia.
Atakayeshinda hapa atacheza na Taifa stars nusu fainali siyo?.

Ndio mkuu tutacheza nao kwenye semis, wote hawa naona nguvu yao sawa, Rwanda washarudisha bao. Zanzibar Heroes watacheza tena na Cranes! natabiri fainali itakuwa - Kili Vs Zanzibar Heroes
 
Back
Top Bottom