Mkuu utamu wa soka presha ipande hahaha!Invisible,
kuna wakati unanitia presha sana, naingia mara moja kucheck matokeo then natoka.
La sivyo ntashindwa kuvumilia (sina imani sana na timu ya maximo)
hata hivyo naomba sana tushinde..... Thanks invisible kwa updates....
Invisible,

Mkuu usitie shaka!!! hawa bado na wao hawajatulia... refa ndio ananipa wasiwasi maana anatoa kadi kama vocha
Bara watawaweza Zenj kweli kwenye nafasi ya tatu?
Hapana,nyie Zenji mtacheza na Rwanda(Amavubi) kwenye nafasi ya tatu.Bara tutacheza na Uganda fainali...Niamini
Duh, mze wengine tuna matatizo ya moyo ati!!!
Jokes aside, Mungu ibariki stars na tanzania kwa ujumla🙂
Safari imeiva!
Safari imeiva!
Wakuu, kipa wa Stars ni mzuri naona
Mkuu acha kununua sanda mgonjwa hajafa bana!!!
Bado nina imani
Thankshays ndugu zangu mliokuwa kwenye mtandao sasa ingia kwenye website ifuatayo kuangalia mpira...have been searching for past 45 minutes and atlast nimefanikiwa...
http://www.justin.tv/p2p1003