Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

Balatanda nilikuambia usiweke rehani kwa mgonjwa aliye ICU!
 
usilaumu kipa, mabeki wamemwacha jamaa, bila kum-confront hata kidogo, ulitegemea nini? Hata hivyo Gasa atarudisha muda si mrefu.
 
Mambo si mambo Tanzania tumeshafungwa goli moja na ni kipindi cha pili
 
usilaumu kipa, mabeki wamemwacha jamaa, bila kum-confront hata kidogo, ulitegemea nini? Hata hivyo Gasa atarudisha muda si mrefu.

Mchezaji mpya GASA? ama unamaana Jakaya Mrisho Ngasa?
 
Yametimia

Rwanda 1 - Tanzania 0

Mkuu,

Haya ndo nilikuwa nayasema, naangalia sasa online imenibidi tu.

Hili goli nashindwa kuelezea yani huyu kipa ana mafunzo kweli? utadhani
yupo kwenye kinesi cup aaaghrrr.....
 
Back
Top Bottom