Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

Invisible,

kuna wakati unanitia presha sana, naingia mara moja kucheck matokeo then natoka.

La sivyo ntashindwa kuvumilia (sina imani sana na timu ya maximo)

hata hivyo naomba sana tushinde..... Thanks invisible kwa updates....
Mkuu utamu wa soka presha ipande hahaha!

Anyway,

Ni mapumziko.

Kiwango cha Tanzania kinaonekana kuwa juu, wasiwasi wangu ni vijana wakijisahau tu, basi tutaishia pabaya!
 
Invisible,

kuna wakati unanitia presha sana, naingia mara moja kucheck matokeo then natoka.

La sivyo ntashindwa kuvumilia (sina imani sana na timu ya maximo)

hata hivyo naomba sana tushinde..... Thanks invisible kwa updates....

Mwanangu ukipenda kushabikia mipira ya bongo ni kweli utakufa kwa presha!
 
Mkuu usitie shaka!!! hawa bado na wao hawajatulia... refa ndio ananipa wasiwasi maana anatoa kadi kama vocha

MTN,
Usijali hawa tunawatandika kipindi cha pili kama ilivyo kawaida!!!
 
Duh, mze wengine tuna matatizo ya moyo ati!!!

Jokes aside, Mungu ibariki stars na tanzania kwa ujumla🙂

pole kiongozi..ntaku PM kukutaka radhi...hahaaaaa
 
Safari imeiva!

umeona eeeeh.mi ndo maana sitaki BP za ukubwani..Toka nichange mchele na michicha kwa serengeti boys halafu tukafutwa mashindanoni kwa ajili ya vijeba sina hamu
 
Back
Top Bottom