Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

Kipa kachachawa tumepigwa bao... very sad
 
Kwa kweli natamani wafungwe Maximo tumjengee fitna aishie zake!

wewe lazima kuna waganga kwenu nimechukia sana

Kumbuka kumtoa maximo sio lazima tufungwe na rwanda bana
 
Balatanda nilikuambia usiweke rehani kwa mgonjwa aliye ICU!
 
usilaumu kipa, mabeki wamemwacha jamaa, bila kum-confront hata kidogo, ulitegemea nini? Hata hivyo Gasa atarudisha muda si mrefu.
 
Mambo si mambo Tanzania tumeshafungwa goli moja na ni kipindi cha pili
 
usilaumu kipa, mabeki wamemwacha jamaa, bila kum-confront hata kidogo, ulitegemea nini? Hata hivyo Gasa atarudisha muda si mrefu.

Mchezaji mpya GASA? ama unamaana Jakaya Mrisho Ngasa?
 
Yametimia

Rwanda 1 - Tanzania 0


Mkuu,

Haya ndo nilikuwa nayasema, naangalia sasa online imenibidi tu.

Hili goli nashindwa kuelezea yani huyu kipa ana mafunzo kweli? utadhani
yupo kwenye kinesi cup aaaghrrr.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…