Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
MODS Unganisheni hizi threads
Sure waunganishe na ile ya kule maana ni story zile zile lakini hii naona ya wana Simba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MODS Unganisheni hizi threads
Yanga oyeeeeeeeeeeeeee!
Yanga oyeee wapi? Primier Legue au Challenge Cup? Au YAnga ndop inawakilisha TZ kwenye Challenge Cup? Huyo Ngassa anayefagiliwa Kili Stars mbona huko Yanga hajafanya cha maana? Hii ni Kili Star na hata mapande anayopata Ngasa na kufumania nyavu mengi yanatoka kiwa wachezaji ambao hawako naye Yanga.
Huyo Ngassa anayefagiliwa Kili Stars
Nakujua mazee wewe ni friends of Simba! Mnanunua marefarii.....mnahonga wachezaji pinzani janja yenu twajua....simba haina mchango kwenye stars....
MAsa acha unazi, kuna mfadhili mwenye pesa katika soka kama Fisadi Manji? HAdi amegundua kuwa kuwa pale YAnga ni kama anatupa pesa ****** na ameamuru ripoti ya fedha itolewe kila mwezi.
Nasikia Madega anataka kugombea Ubunge mwakani hivi pesa za kugombea huo Ubunge amepata wapi?
Huyo Mgosi ni Joka la kibisa sijui kwa nn Maximo iwa anamwita au ndo maswala ya nidhamu?
Mkuu ukweli utabaki pale pale Yanga ndo imeing'alisha hiyo Kili lasivyo angeng'ang'ania hao waSimba tungekuwa tumesha fungasha vilago long time.
MAsa acha unazi, kuna mfadhili mwenye pesa katika soka kama Fisadi Manji? HAdi amegundua kuwa kuwa pale YAnga ni kama anatupa pesa ****** na ameamuru ripoti ya fedha itolewe kila mwezi.
Nasikia Madega anataka kugombea Ubunge mwakani hivi pesa za kugombea huo Ubunge amepata wapi?
Duh hatari sana! hiii. Eritrea wamesawazisha na ktk matuta wamepata 4 kili staz 2 tumetolewa wandugu balaaa tupu!!
Wape donge hawa Makandambili....walilala na ghafla wameamka leo...Tusubiri mechi ijayo....Suala ya Mgosi, si ndio mbabe wenu kuwatungua....shangilieni tuu na ndio mtakuwa wa kwanza kumtupia lawama maximo akichemsha semi-final...hii ndiyo taabu ya usabiki kwenye mtantau....Wewe unachekesha sana. Kwani Simba si ndio kiboko yenu? Au umesahau? Kuifunga timu kama Eritrea sio kigezo kaka. Mbona Stars ilipocheza na Uganda huyo Ngassa hakuwa lolote kwa akina Joseph Owino wa The Cranes? Bila shaka hilo jina bado unalikumbuka. Ha ha ha ha.
Duh hatari sana! hiii. Eritrea wamesawazisha na ktk matuta wamepata 4 kili staz 2 tumetolewa wandugu balaaa tupu!!
Hahahaha mpwa bana mm nilikuwa nakula live kwa radio vp ulikuwa Titanic nn mpwa? hahahaha tayari umesha tia nanga duh. Hawa wa zenji wanaimarika kila kukicha
haha meli haizami ile mpwa..nilikuwa nakulalive TBC1 kwa hiyonimeona staili zote pale
Mrisho Ngassa ndo shujaa wa mechi leo! Pamoja na Fusso Nsajigwa kama sikosei manake jamaa anapanda sana
sasa hawa jamaa wa simba wanasemaje hapa?
Mbona mnatuchanganya sasa...Acheni utani bana,aaaaaaaaaaargh!!!!!!!!!