Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

mpira unaanza saa 11 unaoneshwa kbc kwa wale wenye dstv.mimi nimeshindwa kwenda nina evening class.
 
stars 0 rwanda 2 ,,dakika ya 13 kipindi cha kwanza.teeeeeh nawadanganya

Duh, mze wengine tuna matatizo ya moyo ati!!!

Jokes aside, Mungu ibariki stars na tanzania kwa ujumla🙂
 
Am in Nairobi, KBC1 wanaonesha. Dakika ya 13 inakwenda Rwanda wanashambulia, Tanzania wana pasi ndogo hazina nguvu kabisa
 
Mungu ibariki Kilimanjaro star.wenye kuangalia mpira tafadhali up date kila mara niko mbali na mjini.
 
Kitu ambacho naona Tanzania wanacho kwa sana ni nguvu, wanatumia mabavu katika defense sijui kama wataruhusu kufungika kirahisi
 
Thanks Mkuu... na DSTV wanaonyesha kwenye sky sport 3, naona tumezidiwa na hawa jamaa... Nsajigwa kapewa kadi njano ya kipumbavu!
 
Kitu ambacho naona Tanzania wanacho kwa sana ni nguvu, wanatumia mabavu katika defense sijui kama wataruhusu kufungika kirahisi

Ni kama wamekamia, mwishowe sasa wameanza kukosea hata plan ni kama wanazichanganya... Anyway so far so good maana tumeweza kucheza nao pamoja accuracy yao
 
Tanzania wanaonesha soka zuri kiasi kuliko Rwanda, dakika ya 38. Mkuu walikuwa wamecheza ovyo dakika flani za nyuma
 
Faulo kuelekea Tanzania, imepigwa lakini ngome ya Tanzania iko imara!
 
Invisible,

kuna wakati unanitia presha sana, naingia mara moja kucheck matokeo then natoka.

La sivyo ntashindwa kuvumilia (sina imani sana na timu ya maximo)

hata hivyo naomba sana tushinde..... Thanks invisible kwa updates....
 
Back
Top Bottom