Kombe la dunia linafikia tamati jumapili, Mwarabu ameshindwa kujisafisha duniani

Eti ni wangoni hahaha

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
South africa ya wapi iyo isije kuwa unazungumzia yemen kule waarabu wanaokufa na njaa kwa kukosa chakula

Km ni south africa viwanja vyote vinajulikana na ni bora
Nyie hela za kutupa hamna na kuandaa kombe la dunia hamuwezi.

Afrika Kusini ni special case ile nchi ilijengwa na wazungu na sasa inaharibiwa na Waaafrika weusi ndiyo maana Wazungu wenyewe kina Elon wanakimbia kila mwaka hadi iwe shithole kama majirani zake wa Zimbabwe

 
Umasikini unakutesa,pole sana,maneno yako yanaonyesha kua umepigika na umekata tamaa kabisa,eti bila pesa! Sasa ni nani ambae bila pesa hua wa maana?
 
South africa ya wapi iyo isije kuwa unazungumzia yemen kule waarabu wanaokufa na njaa kwa kukosa chakula

Km ni south africa viwanja vyote vinajulikana na ni bora
Uwe unafuatilia habari kuliko kugeuka na kua kituko hapa,tumia simu yako kujua kinacho endelea Duniani.
 
Lakini tukigeukia upande wa pili ni kuwa malengo ya waarabu kuandaa kombe la dunia hayajitimia hata robo
Hujui kitu wewe zaidi ya habari za kufikirika za uchawi na ushirikina,haya mambo waachie wajuzi,wewe endelea kuwachota akili watu kua eti wakichoma chumvi watatoa mikosi na kua matajiri,uwezo wako uliishiaga hapo tu.
 
Hizi hasira zote kisa Qatar alipiga marufuku machoko,hizi ni propaganda tu zinaendeshwa na westerners dhidi ya Qatar ila watawapa watu kama nyie tu.
 
Hivi ndani ya ulimwengu huu kuna jamii inayo dharaulika na kuonekana ya hovyo zaidi ya jamii ya kiafrika?
 
Huna akili , Arsenal imeweka kambi inchi ya kiarabu kujiandaa na mechi zake za ligi hata kabla ya Kombe la Dunia klabu kubwa zilikuwa zinaweka kambi inchi za kiarabu ..
 
Kundule🤣🤣🤣🤣
 
Waliokwenda Qatar kuona World cup wameisifu Qatar,Rais wa FIFA ameisifu Qatar,
Wewe uliyepo huko Nanjilinji huna hata umeme ili uangalie mechi eti unaiponda Qatar!! Una fikra za kimasikini sana.
nilibahatika kufika Doha Qatar ni pazuri kuliko ulaya magorofa yenye urefu wa kutisha yamejaa. Ni mji msafi kuliko ulaya ambako nimeishi sana, ni pazuri haswa!

Bustani za kupumzika watu ziko katikati ya barabara zikiwa chini ya vivuli vya miti ya mitende, watunza bustani by the name of Allah niliona ni wahindi, wachina na wakorea!!huku bongo hao ni wawekezaji!


Hotel kali inaitwa Retaj ni balaa tupu kama unataka kujua dunia ni tajiri na dunia ina warembo kalale pale. Tv ya chumbani ni nusu ya ukuta mmoja!

ila kuna joto si la kuweza kuelezea! Hewa inayopuliza nje ni ya moto! Mgeni huwezi kukaa nje!
 
Wangoni tena wa mpitimbi 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…