Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tuna CCM na CHADEMA🤣🤣Huyo Qatar katumia gesi na mafuta kua tajiri halafu tunamsema! Sisi tuna kila aina ya natural resources hali ikoje kwetu?
Eti ni wangoni hahahaWeka chuki pembeni ili ueleze vizuri.
Malengo ya Qatar ambayo hayajatimia ni kujisafisha au kupiga pesa?
Watu hawaamin Kama uarabuni ni sehem salama kuishi wakat Zaid ya nusu ya watu Qatar , na UAE yote ni wageni?
Waarabu sio watu wa mpira kivip wakat Wana Benzema, Hakimi, Mo Salah n.k
Tanzania inaweza kuifunga timu gan ya taifa la kiarabu?
Hiv wamiliki wa PSG na Man City ni Wangoni?
Nyie hela za kutupa hamna na kuandaa kombe la dunia hamuwezi.South africa ya wapi iyo isije kuwa unazungumzia yemen kule waarabu wanaokufa na njaa kwa kukosa chakula
Km ni south africa viwanja vyote vinajulikana na ni bora
Umasikini unakutesa,pole sana,maneno yako yanaonyesha kua umepigika na umekata tamaa kabisa,eti bila pesa! Sasa ni nani ambae bila pesa hua wa maana?Aliisifu katar kwasababu kamwaga mapesa
Wenzie wanatumia dola bilion kumi yeye anajimwagia zake dola bilion 220
Bahati nzuri Rais wa fifa aliyepita alikiri hadharani kuwa hata mchakato wa katar kupata nafasi ilikuwa ni mchezo mchafu walimwaga mapesa
Bila pesa mwarabu anakuwa km nyumb
Uwe unafuatilia habari kuliko kugeuka na kua kituko hapa,tumia simu yako kujua kinacho endelea Duniani.South africa ya wapi iyo isije kuwa unazungumzia yemen kule waarabu wanaokufa na njaa kwa kukosa chakula
Km ni south africa viwanja vyote vinajulikana na ni bora
Hujui kitu wewe zaidi ya habari za kufikirika za uchawi na ushirikina,haya mambo waachie wajuzi,wewe endelea kuwachota akili watu kua eti wakichoma chumvi watatoa mikosi na kua matajiri,uwezo wako uliishiaga hapo tu.Lakini tukigeukia upande wa pili ni kuwa malengo ya waarabu kuandaa kombe la dunia hayajitimia hata robo
TunachokijuaSource 1#
Source 2#
Wamewafanya fifa wale hasara had wamezndua mens world cup mpya ya 32 teams 2024 inasubiriwa,mayb watarudisha hasara kdgpesa ila walikosa akili na mikakati na watu intelligence kwenye football
Bora yupi kati ya mwarabu aliye kosa intelligence ya mpila ila akawa na pesa na muafrika aliye kosa vyote?pesa ila walikosa akili na mikakati na watu intelligence kwenye football
Hivi ndani ya ulimwengu huu kuna jamii inayo dharaulika na kuonekana ya hovyo zaidi ya jamii ya kiafrika?Waarabu wametumia dollar bilon 220 jiandae kombe la dunia hii haijawahi kutokea duniani
Ila upate picha halisi ni kuwa Brazil alitumia dola bilion 10 kuandaa kombe la dunia h2014
Russia alitumia dola bilion 13
Na wachumi wanasema mpaka kumalizika kombe la dunia katar wataingiza dola bilion 70 pungufu ya dola bilion 140
Katari ni mzalishaji mkubwa wa gesi na mafuta linaweza isiwe tatizo kwao kiuchumi
Lakini tukigeukia upande wa pili ni kuwa malengo ya waarabu kuandaa kombe la dunia hayajitimia hata robo
Watu bado wanaawaangalia waarabu km magaidi na watu wasiojitambua
Dunia bado inaiangalia mashariki ya kati km sehemu isiyo salama kuishi
Kauli ya mchezaji wa kiarabu ilienda kuharibu taswira yote ya mashindano hili jambo lilipelekea waarabu waendelee kuoneka ni wabuguzi, roho mbaya wasio na utu
Kunyanyaswa na kudhulumiwa wafanyakazi waliokuwa wanaajiriwa kujenga miondombinu ya viwanja,wengi wa watu hawa walikuwa wanatoka nchi za pekstan, india na kwingineko Wafanyakazi wengi walifariki wakiwa kazini ila walitelekezwa.
Baada ya kombe la dunia vile viwanja vitakuwa magofu kwasababu waarabu sio watu wa mpira tofauti na nchi za mpira baada ya mashindano ya kombe la dunia kuisha viwanja hukodishwa au kuuzwa kwa vilabu vikubwa km bayern munich kule ujerumani au urusi na brazil au kule afrika kusini
Itoshe kusema waarabu walikuwa wana pesa ila walikosa akili na mikakati na watu intelligence kwenye football
Tuwaombe Saud arabia wakipata nafasi siku zijazo wasirudie makosa haya
Kundule🤣🤣🤣🤣Acha kufananisha Qatar na vtu vya kijinga , Kwanza majamaa hawana maswala ya michezo ndo mana viwanja karbia vyote wamejenga na wanavunja , hap Brazil au Russia , viwanja vilikuwepo na facilities nyingi zipo , ndo mana wametumia kidog , Qatar wameandaa kama ukarimu tuu wala hawahitaji faida , hata hotel nyingi ni temporary , wanamaliza wanavunja wanaendelea na mambo Yao , wamewakarimu tuuu alaf unaanza kuwananga hapa , na nyie andaeni sasa kama hamjapasuka kundule
nilibahatika kufika Doha Qatar ni pazuri kuliko ulaya magorofa yenye urefu wa kutisha yamejaa. Ni mji msafi kuliko ulaya ambako nimeishi sana, ni pazuri haswa!Waliokwenda Qatar kuona World cup wameisifu Qatar,Rais wa FIFA ameisifu Qatar,
Wewe uliyepo huko Nanjilinji huna hata umeme ili uangalie mechi eti unaiponda Qatar!! Una fikra za kimasikini sana.
Wangoni tena wa mpitimbi 😂😂😂Weka chuki pembeni ili ueleze vizuri.
Malengo ya Qatar ambayo hayajatimia ni kujisafisha au kupiga pesa?
Watu hawaamin Kama uarabuni ni sehem salama kuishi wakat Zaid ya nusu ya watu Qatar , na UAE yote ni wageni?
Waarabu sio watu wa mpira kivip wakat Wana Benzema, Hakimi, Mo Salah n.k
Tanzania inaweza kuifunga timu gan ya taifa la kiarabu?
Hiv wamiliki wa PSG na Man City ni Wangoni?