Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
Uko sahihi
Vp, vanny boy katumbuiza?Haters bhaaana. Game ya moto na mashindano yamefunguliwa kibabe.
Sijajua mkuu, mimi nimeanza kutazama muda wa mechi tu.Vp, vanny boy katumbuiza?
AmetumbuizaVp, vanny boy katumbuiza?
Lamasimba dangote?Ametumbuiza
Watu wachawi Kwa Kuharibu mjadala tuYanga bingwa
Mpira sio mbayaHaters bhaaana. Game ya moto na mashindano yamefunguliwa kibabe.
Sambaza upendo kwa Wana Jf tupate hela ya Visunguramichuano ya ku make hela hii jana nimempiga kanji million na laki 5
Yeah game ilikuwa nzuri sana ya ufunguzi. Ni vile SA ilikuwa na uoga wa hali ya juu sana jana.Mpira sio mbaya
Yes...au hata Mexico na Canada ingetosha kabisa.Walifanya mistake ku stage michuano hii pale US, Mexico tu angetosha ku host
Ngoja nimuulize Mwinyi Zahera atupatie uzoefu wake katika utoaji advance wa Yanga kwa timu wanazokutana nazo ili wawe mabingwa.Yanga bingwa