Kombe la dunia mwaka huu halina mvuto ni vile tu napenda mpira, ila US sio bora kwenye uandaaji

Litakuaje na mvuto wakati wenyewe wanajua ukiritimba wanaoufanya kwa binnaadamu wenzao! Wale ni zaidi ya zombi
Kombe la mwaka huu lina mvuto na ushindani sana. Hata timu za Afrika zimeleta ushindani siyo kama zamani.
Mechi kama ya jana Uruguay vs Cape Verde, Belgium vs Iran.
Halafu kila mechi mashabiki wanajaa. Hata nchi ndogo kama Cape Verde, Curacao, Haiti mashabiki wao ni wengi. Watu wamesafiri
 
Ndani ya uwanja lina mvuto ila nje ya uwanja halina mvuto,sababu ya control na sheria nyingi za US mashabiki kibao wamekataliwa kuingia US,Partey nae amekataliwa sababu ya ile kesi yake.Ila uwanjani mvuto upo.
 
Nje ya uwanja ni vibe kama kawaida. Vikwazo kwenye kuingia Marekani vipo kwa baadhi ya watu/nchi.
 
Kule kulikuwa na sheria hadi kwenye mavazi, vyakula, vinywaji
Changamoto ninayodhani kwa Marekani ni nchi kubwa sana miji/viwanja viko mba mbali wakati Qatar ni nchi ndogo
 
Kwahiyo 2026 ni bora zaidi ya Qatar?
 
Kujaa kwa mashabiki ni kawaida sababu wanapenda mpira ila hamasa na shamra shamra hamna kabisa zaidi ya mapolisi kupiga dana dana mtaani, hata wananchi wa Marekani wanajua Messi anacheza kwaoπŸ˜€πŸ˜€
 
Kujaa kwa mashabiki ni kawaida sababu wanapenda mpira ila hamasa na shamra shamra hamna kabisa zaidi ya mapolisi kupiga dana dana mtaani, hata wananchi wa Marekani wanajua Messi anacheza kwaoπŸ˜€πŸ˜€
Shamra shamra zipo sana ila haiwezi kulingana Qatar. Qatar ni nchi ndogo sawa na jimbo moja tu dogo la Marekani yenye majimbo 50. Qatar WC ilikuwa kwenye viwanja 8 vilivyo karibu karibu kwa hiyo watu wote waliosafiri walikuwa sehemu moja (Doha)
 
Usidanganyike wewe na usilewe propaganda, mashabiki wengine ni mle mle ndani raia,Marekani,Canada,Mexico na diaspora... Km Iran, Senegal hao ndo kabisa walikuwa hawana mashabiki kutoka nchi mwao kabisa
 
Wewe udini umekupofusha
 
Usidanganyike wewe na usilewe propaganda, mashabiki wengine ni mle mle ndani raia,Marekani,Canada,Mexico na diaspora... Km Iran, Senegal hao ndo kabisa walikuwa hawana mashabiki kutoka nchi mwao
Sasa mnawazuia wa sauzi kwani wakija bongo ndo wanaletea maandamano yao ya xenophobia si wanaleta mapesa madolari, maana wametuzidi maendeleo
 
Hata mimi nawashangaa wanaosema halina mvuto!
 
Mkuu, subiri hizo Dollar zinakuja nyingi AFCON,jipange tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…