Kombe la Mapinduzi: KMKM vs Simba SC, Januari 06, 2019 | Simba yashinda 1-0

Mmh. Sasa hiyo Match fitness ndio mnaitafuta kwa wale midebwedo Mkuu? Mbona kama sio kiwango sahihi?
Unajua kuna wakati si lazima Match Fitness kucheza na timu kubwa, ijapokuwa kuna wakati inabidi..

Hii ya Simba na Kmkm inasaidia kukuepusha na kupata injury kwa wachezaji endapo unakabiliwa na mechi ngumu mbeleni

Ni kama Pre Season, Klabu kubwa Ulaya kama Man Utd, Real Madrid hujitupa Uchina ama Uarabuni huko

Kubali yaishe SimbaNguvuMoja ni moto!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oooh. Sawa Mtani. Nimekuelewa Sasa.

Hivyo hamna haja na hiyo M.10 si eti? 😎😎
 
Hiyo ni kawaida Ses kwa Klabu zetu za kitanzania na ndio Sababu hata nyie mlipofungwa na mbao mashabiki walimpiga sana manara na chupa za maji na kuona madevu hafai.
Hahahaaa sawa bana, haya sasa tusubiri mechi ya KMKM, hilo la kuwarushia chupa za maji makocha hatuchekani
 
Mie asubuhi cha kwanza humu. Umeonaeee ndio zetu hizo. Tunapenda matokeo mazuri kila siku sa sijui yale mabaya yawe ya kina nani.
Matokeo mabaya tunaamini wanastahili kina Ruvu Shooting na Masao Bwire waoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…