Kombe la Mapinduzi: KMKM vs Simba SC, Januari 06, 2019 | Simba yashinda 1-0

Kombe la Mapinduzi: KMKM vs Simba SC, Januari 06, 2019 | Simba yashinda 1-0

Mmh. Sasa hiyo Match fitness ndio mnaitafuta kwa wale midebwedo Mkuu? Mbona kama sio kiwango sahihi?
Unajua kuna wakati si lazima Match Fitness kucheza na timu kubwa, ijapokuwa kuna wakati inabidi..

Hii ya Simba na Kmkm inasaidia kukuepusha na kupata injury kwa wachezaji endapo unakabiliwa na mechi ngumu mbeleni

Ni kama Pre Season, Klabu kubwa Ulaya kama Man Utd, Real Madrid hujitupa Uchina ama Uarabuni huko

Kubali yaishe SimbaNguvuMoja ni moto!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kuna wakati si lazima Match Fitness kubabiliana na timu kubwa, ijapokuwa kuna wakati inabidi..

Hii ya Simba inasaidia kukuepusha na kupata injury kwa wachezaji endapo unakabiliwa na mechi ngumu

Ni kama Pre Season, Klabu kubwa Ulaya kama Man Utd, Real Madrid hujitupa Uchina ama Uarabuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh. Sawa Mtani. Nimekuelewa Sasa.

Hivyo hamna haja na hiyo M.10 si eti? 😎😎
 
Mie asubuhi cha kwanza humu. Umeonaeee ndio zetu hizo. Tunapenda matokeo mazuri kila siku sa sijui yale mabaya yawe ya kina nani.
Matokeo mabaya tunaamini wanastahili kina Ruvu Shooting na Masao Bwire waoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Back
Top Bottom