Ile nafasi ya kolibaly bora angecheza manara. Kapombe anahitajika mapema sana. Alafu timu inacheza taratibu sana.Nawe simba kuwa timu toka lini... Hyo ni mikia tu kama mikia mingine..
Wapaka, wambwa,wambuzi Yote ni mikia
Mkia wa beberu mbona huutaji?Nawe simba kuwa timu toka lini... Hyo ni mikia tu kama mikia mingine..
Wapaka, wambwa,wambuzi Yote ni mikia
Ningekuwa mle yule refa nimemchapa kofiWaamuzi Mapinduzi ni tatizo nimeona wanakampeni zawazi kabisa kuifanya Simba isipate matokeo makubwa uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
Katembeze bakuli la michango. Tokea lini umekuwa kocha?Ile nafasi ya kolibaly bora angecheza manara. Kapombe anahitajika mapema sana. Alafu timu inacheza taratibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba na Yanga zitakutana tu.
Mbona huwa mnakojolewa kila siku?Mngeingiza mikundu.Muone moto.Mmekimbia na chupi mkononi.Halafu unabaki kubana pua.
Mbona unaandika kwa unyonge yakhe ushindi ni ushindi tu ila kwa Zana tumepigwa changa la macho yakheNi mazoezi tosha kabisa. Vijana Simba SC walitulia pamoja na KMKM kukamia lakini kimoko kimetasia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unaandika kwa unyonge yakhe ushindi ni ushindi tu ila kwa Zana tumepigwa changa la macho yakhe
ila kwa Zana tumepigwa changa la macho yakhe
Miaka 2 na nusu mkitoa droo mnafanya maandamano. Kuwala nyie kiboga sio suala la mjadala bali ni suala la muda tu.Hata Zahera anajua ndio maana kaanza kuwatayarisha kisaikolojia. Ohh natamani wachezaji wa Simba.Mbona huwa mnakojolewa kila siku?
Bruh, ushabiki wako ni wa matusi. Naona na mimi naelekea huko, kwa hiyo tuishie hapa.Miaka 2 na nusu mkitoa droo mnafanya maandamano. Kuwala nyie kiboga sio suala la mjadala bali ni suala la muda tu.Hata Zahera anajua ndio maana kaanza kuwatayarisha kisaikolojia. Ohh natamani wachezaji wa Simba.
Zungumzia kuliwa kiboga na Azam.Sisi tumeshafuzu semifainali bila hata kucheza mechi ya tarehe 8.Mbona unaandika kwa unyonge yakhe ushindi ni ushindi tu ila kwa Zana tumepigwa changa la macho yakhe
Hahahaaa. Huwa unapoteaga aiseee.Mmmhh aiseee
Hahahaaa. Kweli kile cha Mbwa koko Sapta. ππππLeo naona kuna mtu atapata kipigo cha mbwa koko
kila lakheri Mnyama mkali Simba sc
Yaaah. Ila mna bahati sana. ππ
Yamekua hayo tena!? Eti tuna bahati, hahahaaaaa. Yale mashambulizi tuliyofanya mwanzo mwisho hukuyaona Shadeeya ?Yaaah. Ila mna bahati sana. ππ