Ndiooo. Sababu kwa tambo za kikosi chenu na kile kijiushindi naiona ni bahati tu ile. πππYamekua hayo tena!? Eti tuna bahati, hahahaaaaa. Yale mashambulizi tuliyofanya mwanzo mwisho hukuyaona Shadeeya ?
Ushasahau kua ulipinga na kama mkeka ushachanika πππ
Hebu nikuulize swali dogo tu. Jana pale nani alikua mwenye bahati, Simba walioshambulia na kutawala mchezo wote huku wakocheza wanavyotaka au hao KMKM wenu walionusurika na kipigo cha mbwa koko?Ndiooo. Sababu kwa tambo za kikosi chenu na kile kijiushindi naiona ni bahati tu ile. πππ
Hahahaaaa. Hivi kipigo cha mbwa koko ni kuanzia ngapi sababu mpaka pale hata kukikaribia hamjakikaribia. ππHebu nikuulize swali dogo tu. Jana pale nani alikua mwenye bahati, Simba walioshambulia na kutawala mchezo wote huku wakocheza wanavyotaka au hao KMKM wenu walionusurika na kipigo cha mbwa koko?
siwezi kuongea na bi hindu maana wewe kwa matusi mtaa wa dosi wote wanakuogopaZungumzia kuliwa kiboga na Azam.Sisi tumeshafuzu semifainali bila hata kucheza mechi ya tarehe 8.
Wewe weweseka na hali yako. Vipi michango?
Desemba yote elfu 70000?
Wavuta bangi wenzako wameshapatana?
Lakini sishangai ujue Shadeeya maana nakumbuka hata kocha wenu Mwinyi Zahera aliwahi kukiri hadharani kua ukitoka sare na Simba huo ni ushindi mkubwa sana kwenuHahahaaaa. Hivi kipigo cha mbwa koko ni kuanzia ngapi sababu mpaka pale hata kukikaribia hamjakikaribia. ππ
Halafu mbona kosa kosa zenyewe zilikuwa za kuhesabika sasa?
kagongwa goti..katolewa kwa machelakafanyaje
π€£π€£π€£π€£ Yaani kauli za mashabiki wa Simba hatuwatofautishi na wale kina Koku. π€£π€£π€£Kwenye kibanda Yanga wengi kuliko Simba,wanasema burudani ya Simba ni ya kila mtanzania
Matusi anayo bi mkubwa wako ndio maana ukazaliwa.siwezi kuongea na bi hindu maana wewe kwa matusi mtaa wa dosi wote wanakuogopa
Acha roho mbaya unafurahia Nyoni kuumiaEndeleeni kushusha Timu yote ya kwanza badala kufanya rotation kidogo,Nyoni vp updates zake? Mnavikosi viwili why mnakuwa waoga kiasi hicho?
π€£π€£π€£. Nimebaki najiuliza Mkuu kwani utani wa Jadi hauendi pasi matusi?siwezi kuongea na bi hindu maana wewe kwa matusi mtaa wa dosi wote wanakuogopa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bruh, ushabiki wako ni wa matusi. Naona na mimi naelekea huko, kwa hiyo tuishie hapa.
Nilijuwa Chuma binti Mohamed AKA Bi Hindu Mama Hamisa Chuma Kibibi cha Matusi mtaa wa dosi utaongea tu. Bado ujaacha kutembea na wachezaji japo kikongweMatusi anayo bi mkubwa wako ndio maana ukazaliwa.
Mtumwa wahedi. Umeacha kupiga magoti?
Sijafurahi ila namshangaa kocha wenu alivyo mwehu hajui priorities za kutumia wachezaji
Wewe senge kama jina lako.Wanakugombea wengi. Niletee mama yako ndio ana marinda. Wewe wameshayalegeza.Nilijuwa Chuma binti Mohamed AKA Bi Hindu Mama Hamisa Chuma Kibibi cha Matusi mtaa wa dosi utaongea tu. Bado ujaacha kutembea na wachezaji japo kikongwe
Bibie mbona hutukanwi wewe. Kwa sababu wewe mstaarabu. Hao mapopoma hawajui ustaarabu watwana tu hawaendi shuruti matusi na mijeledi.π€£π€£π€£. Nimebaki najiuliza Mkuu kwani utani wa Jadi hauendi pasi matusi?
Kinaanzia tatu.Hahahaaaa. Hivi kipigo cha mbwa koko ni kuanzia ngapi sababu mpaka pale hata kukikaribia hamjakikaribia. ππ
Halafu mbona kosa kosa zenyewe zilikuwa za kuhesabika sasa?
Na kama kile cha Mashujaa 3 - 2 Simba eee. [emoji12][emoji12]Kinaanzia tatu.
Azam 3 - 0 Yanga.
Simba tatizo lao kubwa hawana wingers wa asilia.....watu wakipaki bus shughuli imeisha...Ile nafasi ya kolibaly bora angecheza manara. Kapombe anahitajika mapema sana. Alafu timu inacheza taratibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app