Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Hili jambo linakera sana kwenye jukwaa la sportsπ€£π€£π€£. Nimebaki najiuliza Mkuu kwani utani wa Jadi hauendi pasi matusi?
Na kama kile cha Mashujaa 3 - 2 Simba eee. [emoji12][emoji12]
Mtani leo matokeo vp maan kuna ka foleni sasa sijapata matokeo yenuNa kama kile cha Mashujaa 3 - 2 Simba eee. [emoji12][emoji12]
Hawezi urudi humu kwa matokeo ya leoMtani leo matokeo vp maan kuna ka foleni sasa sijapata matokeo yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Live updates za game yenu leo na Malindi iko wapi?
Hahaaa. Ila Watani zangu nyieeee.Mtani leo matokeo vp maan kuna ka foleni sasa sijapata matokeo yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesharudi Mkuu. Kwani Watani zangu mnateseka? ππππ
Jamaani. πππ
Eeeeehhhh.Unauliza matokeo?Vyura wapo juu ya maji kwenye boti la Kilimanjaro. Safari imeishia hapo.
Malindi kamla tena. Ukiona manyonya na kimya kizito jua migongo wazi chali.Ndembwendembwe.
Viwili mubashara.
Hahaaa. Ila nyieeee.
Nawasubiria kesho tu. π
πππ Nimeibuka aisee. Eti kuzimu Lol
Hahaaa. Kwenye Utani wa jadi huwa hata sijui uzalendo unakaa wapi. Nitakwenda Taifa kwa lengo kuishangilia JS Saoura.Uzalendo kwa Mchina au siyo?
Mtani nakuonea huruma kujaza maji kwenye gunia. Jezi ndio zimewaponza. Ilikuwa kimoja tu.Hahaaa. Kwenye Utani wa jadi huwa hata sijui uzalendo unakaa wapi. Nitakwenda Taifa kwa lengo kuishangilia JS Saoura.
Hahahaaa. Wacha tu Mtani.Mtani nakuonea huruma kujaza maji kwenye gunia. Jezi ndio zimewaponza. Ilikuwa kimoja tu.
Naona utamaliza zote.Kila atakayekuja kwa mchina ni mijeledi tu.Hahahaaa. Wacha tu Mtani.
Ila bado sikomi. Nahamia Al Ahaly sasa. ππ
πππNaona utamaliza zote.Kila atakayekuja kwa mchina ni mijeledi tu.