Kombe la Mapinduzi: KMKM vs Simba SC, Januari 06, 2019 | Simba yashinda 1-0

Kombe la Mapinduzi: KMKM vs Simba SC, Januari 06, 2019 | Simba yashinda 1-0

Unauliza matokeo?Vyura wapo juu ya maji kwenye boti la Kilimanjaro. Safari imeishia hapo.
Malindi kamla tena. Ukiona manyonya na kimya kizito jua migongo wazi chali.Ndembwendembwe.
Viwili mubashara.
 
Hivi mbona Yanga akifungwa huwa kuna mpenzi wake lazima alie?
Leo kwenye jukwaa wapenzi wa Malindi walikuwa wanamdhihaki kwa kumnunulia maji. Jamaa linalia.Kelele nyingi.
 
Unauliza matokeo?Vyura wapo juu ya maji kwenye boti la Kilimanjaro. Safari imeishia hapo.
Malindi kamla tena. Ukiona manyonya na kimya kizito jua migongo wazi chali.Ndembwendembwe.
Viwili mubashara.
Eeeeehhhh.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mtani leo ni bakora kwenda mbele pale klabuni kwenu Jangwani.Kaimu Katibu amewekwa kati kwa usajili wa kipa bomu na ubadhirifu wa pesa.
Watani kwa bakora nawaaminia. Nakushauri leo usisogee bwawani kwani hakukaliki.Maji yamepata moto.
Uchaguzi nao umeota mbawa.Kuna wajanja wanaoendeleza ulaji wamekwenda mahakamani.
 
Hahaaa. Kwenye Utani wa jadi huwa hata sijui uzalendo unakaa wapi. Nitakwenda Taifa kwa lengo kuishangilia JS Saoura.
Mtani nakuonea huruma kujaza maji kwenye gunia. Jezi ndio zimewaponza. Ilikuwa kimoja tu.
 
Mtani nakuonea huruma kujaza maji kwenye gunia. Jezi ndio zimewaponza. Ilikuwa kimoja tu.
Hahahaaa. Wacha tu Mtani.

Ila bado sikomi. Nahamia Al Ahaly sasa. 😃😃
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom