kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Dhamira ya mchezaji sakho kwa kipa wa Azam haikuwa Safi. Kama kigonya asingejilinda kwa mguu wake huenda Leo hii angekuwa Yuko mortuary. Speed ya sakho kuelekea kwa kipa ilikuwa kubwa sana hata pale alipoona kipa ameshaudaka mpira.
Alidhamiria kwenda kugongana na kipa hata kama mpira uko mikononi mwa kipa tayari. Kwakuwa sakho alikuwa Yuko kwenye apeed kubwa kuelekea kwa kipa aliyesimama it is obvious that kipa ndiye alingeuiwa kwenye hatari zaidi ya kuumia kuliko mshambuliaji.
Bahati mbaya waamuzi wameiona zaidi Dhamira ya kipa dhidi ya mshambuliaji kuliliko ile dhamira ovu ya mshambuliaji dhidi ya kipa.
Tunabenana hata kwenye mashineano ya hivi?