kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Ile haki bin haki inayofanywa na waamuzi wa Zanzibar kwenye kombe la mapinduzi ndio inayokosekaana kwenye ligi ya Bara. Kama refa angetoka Bara Yanga na Simba zingepata matokeo mazuri sana dhidi ya timu ndogo za Zanzibar kwenye mashindano ya mapinduzi.
Mungu awalaani waamuzi na watu wote wanaopanga matokeo kwenye ligi ya Bara, Mungu awape mwisho mbaya wale wote wanaofanya makusudi kupika matokeo. Namuomba MwenyeziMungu baadhi ya adhabu zao ziwe hapahapa duniani ili na sisi tuzione zinavyowatafuna.
Hakuna jambo na dhambi kubwa kama kuipokonya ushindi timu na wachezaji wanaovuja jasho uwanjani, kwenye mazoezi na kwenye kuhudumia timu. Laanatullah