Kombe la mapinduzi linathibitisha namna Simba na Yanga zinavyobebwa na waamuzi wa Bara.

Kombe la mapinduzi linathibitisha namna Simba na Yanga zinavyobebwa na waamuzi wa Bara.

Ile haki bin haki inayofanywa na waamuzi wa Zanzibar kwenye kombe la mapinduzi ndio inayokosekaana kwenye ligi ya Bara. Kama refa angetoka Bara Yanga na Simba zingepata matokeo mazuri sana dhidi ya timu ndogo za Zanzibar kwenye mashindano ya mapinduzi.

Mungu awalaani waamuzi na watu wote wanaopanga matokeo kwenye ligi ya Bara, Mungu awape mwisho mbaya wale wote wanaofanya makusudi kupika matokeo. Namuomba MwenyeziMungu baadhi ya adhabu zao ziwe hapahapa duniani ili na sisi tuzione zinavyowatafuna.

Hakuna jambo na dhambi kubwa kama kuipokonya ushindi timu na wachezaji wanaovuja jasho uwanjani, kwenye mazoezi na kwenye kuhudumia timu. Laanatullah
Mkuu fanya ibada hayo mengine Mungu hakutupa amri ya kuyafanya.
 
By the way Simba na Yanga huwa hawapo sana serious na hayo mashineano, hatua za awali mara nyingi huwa wanapanga panga tu vikosi kujaribu mifumo, wachezaji wanaokaa benchi, hujaribu wacheaji wanaotaka kusajili n.k
 
Yanga umemwingiza tu kunogesha stori hausiki na mbereko
 
By the way Simba na Yanga huwa hawapo sana serious na hayo mashineano, hatua za awali mara nyingi huwa wanapanga panga tu vikosi kujaribu mifumo, wachezaji wanaokaa benchi, hujaribu wacheaji wanaotaka kusajili n.k
Mkuu sio kweli, wako serious. Simba N mlandege walikuwa wanatafuta matokeo ya lazima, ndio maana mwisho wa siku waliingizwa hata wachezaji muhimu sana kwenye kikosi. Hata Yanga kama akina nani hii wangekuwwpo kwenye bench pia wangeinhizwa
 
Jamani, mtoa mada anamanisha, marefarii wa Zanzibar wamejitahidi kuzingatia sheria za mpira wa miguu.

Binafsi niliona mapungufu katika kutoa kadi. Rafu nyingi zilikuwa zinahitaji yellow au red cards lakin makocha walikuwa wanapeta.

Tofauti na marefa wa NBC, marefa wa Zanzibar, na ma-linesmen wao wanajitahidi kwenda na move.

Marefa wa Zanzibar wanajitahidi kuziona offsides. Marefa wa NBC wasingepuliza filimbi kwa sababu ya uwezo mdogo walionao au hongo.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Timu zilizoshiliki mapinduzi cup.

Young Africans
Taifa Jang’ombe
KMKM
Azam FC
Namungo FC,
Yosso Boys
Meli 4 City.
Simba SC ipo
Selem View n
Mlandege FC.

Timu zilizofuzu nusu fainali.
-Simba
-Yanga
-Namungu
-Azam

Hivi mtoa mada unatumia ubongo gani kufikiri? Hizo timu za zanzibar kwenye mashindano ya kimataifa zinafungwa hadi magoli 10 on aggregate. Kwa hiyo hapo hata hizo timu za bara kuingia nusu fainali ni kwa sababu ya marefaree wamewabeba?
Hiyo Meli 4 isiihesabu.

Nitimu iliyoshinda kombe la Mbuzi/Ndondo (Mashindano yanaitwa Yamle Yamle Cup) ndio ikapewa nafasi ya kushiriki.

Haiko daraja lolote hiyo.
 
Hiyo Meli 4 isiihesabu.

Nitimu iliyoshinda kombe la Mbuzi/Ndondo (Mashindano yanaitwa Yamle Yamle Cup) ndio ikapewa nafasi ya kushiriki.

Haiko daraja lolote hiyo.
Meli 4 hiyo ni kama timu ya Taifa kama hujui! Ina wachezaji wa ligi kuu ya zanzibar na bara
 
Back
Top Bottom