Kombe la shirikisho Africa: Yanga yapangwa na TP Mazembe kundi moja

Tabia ya chura, 1.kukoroma hovyohovyo.Hili halina ubishi kelele za soka hapa bongo ni za YANGA.2.kuogelea madimbwini hili nalo lipo wazi yanga mvua ikinyesha wanaogelea.
 
Hapo ni kukaza tu, naona ratiba inahitaji kujiamini tu.!
 
Hivi unafahamu hata TP Mazembe hawako vizuri (kama umewafuatilia mechi zao zilizopita).

Hata kwenye msimamo wa ligi ya kwao wako hoi.

Hapa Yanga inabidi amalize nafasi ya 1 au ya 2.
Kabisaaaaaaa mkuu, yani kundi la Yanga ni zuri sana aise Mpaka natamani mie ndiye ningekua Jerry Muro ili nibwatuke vizuri leo.
 
TP mazembe mwaka huu c wazuri sana,Ila kundi B kule wa moto tupu
Lile kundi B ngoja wapambane wenyewe huko hao wala tende tu sasa maana hakuna namna... πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…