Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
niwatakieni heri mashabiki ya Yanga Bantu lady
Tunashukuru sana MEANDU, I miss you jamani unapotea sana.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niwatakieni heri mashabiki ya Yanga Bantu lady
Tunashukuru sana MEANDU, I miss you jamani unapotea sana.
nipo ila majukumu mengi mno. usijali leo tupo pamoja Bantu lady
Hivi kwanini TBC wasimuuzie Rostam?
Huwa sielewi hii TV either ni ya CCM au ni ya Taifa! Utakuta mechi ya Taifa Stars vs Rwanda hawaoneshi! CCM 38 masaa 12 LIVE!
Huyo Shabani Kisu, Juma Nkamia, nk hawajui posho, mishara na pesheni zao wanatugemea sie wananzengo!
Isitoshe TBC wana matangazo mengi, ruzuku kutoka serikalini na mishara tunawalipa sisi. Watashindwaje kuwa na uzalendo kwa Taifa lao?
UBC wanaweza kwanini TBC washindwe?
Kila la kheri YANGA.