Kombe la Shirikisho Afrika: BDF XI vs Yanga [27 Feb 2014]

Kombe la Shirikisho Afrika: BDF XI vs Yanga [27 Feb 2014]

BDF XI LineUP vs Club Young Africans
1.Ontiretse 'Sparh' Gaotlhobogwe
2.Pelontle 'Dust' Lerole
3.Othusitse 'Nakata' Mpharithe
4.Moreetsi 'Resco' Mosimanyana
5.Mompati 'Apache' Thuma
6.Moshe 'Fanta' Gaolaolwe
7.Bonolo 'Scara' Phuduhudu
8.Thato 'OG' Ogopotse
9.Vincent Nzombe
10.Master 'The President' Masitara
11.Kabelo 'Skhebo' Seakanyeng


Substitutes

12. Takudzwa Ndoro
13. Tshoganetso Malizimba
14. Ofentse Mmipi
15. Phomolo Keimetswe
16. Kumbulani Madziba
17. Lesego Lubinda
18. Keeagile Kobe

COACH: Letang 'Rasta' Kgengwenyane
 
Hivi kwanini TBC wasimuuzie Rostam?

Huwa sielewi hii TV either ni ya CCM au ni ya Taifa! Utakuta mechi ya Taifa Stars vs Rwanda hawaoneshi! CCM 38 masaa 12 LIVE!

Huyo Shabani Kisu, Juma Nkamia, nk hawajui posho, mishara na pesheni zao wanatugemea sie wananzengo!

Isitoshe TBC wana matangazo mengi, ruzuku kutoka serikalini na mishara tunawalipa sisi. Watashindwaje kuwa na uzalendo kwa Taifa lao?
UBC wanaweza kwanini TBC washindwe?

Kila la kheri YANGA.

Kwa 7bu wanacheza ndala:what:
 
Kwa jinsi mechi inavyoenda ni kama tayari Yanga wameshapita hatua hii.
 
Watu8 Hamna link nyingine inayoonyesha hii mechi?

Hiyo hapo juu inakwama kwama mno
 
Last edited by a moderator:
jamani zaidi ya live streaming ya azam kuna nyingine inayopatikana!!
 
Wachezaji wengine wapuuzi kweli, timu yako iko nyuma halafu unacheza faulo za kipuuzi.
 
BDF wamekuwa pungufu baada ya mchezaji mmoja kumfanyia msuva faulo ya kijinga kabisa.
 
Kuna mchezaji wa BDF kapewa kadi nyekundu?

Hii live streaming ya Azam inakwama kwama sana
 
Jamaa alitaka amwumize Dogo atoka nje ksbb wanamjua ni threat
 
we @MEANDU upo pamoja na Bantu lady wapi? acha maneno hayo ndugu yangu. suala la urafiki na bantu lady nlishasema huyu ni Chakula cha Simba Sports Club. sweet lady hbr dada? upo? haya kama kawaida yetu unaangalia mpira huku.... tunapiga story. nipo botswana dada kikazi naangalia game LAIVU bila chenga.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom