Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Nitakukumbusha wakati utakapofika Hajar usinitoroke tuπππHahahaaa. Nishakata tayari. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mie wajua pa kunipata lakini hata nikitoroka humu pa kunibambia wapajua. Teh teh teh.Nitakukumbusha wakati utakapofika Hajar usinitoroke tuπππ
πππ, nakuangali tu mbio zako zitapoishia, najua utarudia njia hii hiiAkaaaaaa. Hizi sera hizi Sesten muwaambie wale watoto ambao hawajui nini maana ya ushabiki ila kina sie washabiki kindaki ndaki hatuwezi hama hata kwa dawa Sesten.
Mtuwache [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Yaani hadi hapo unapojifunika shuka, nakuja nakufunua hilo shuka halafu tuulizane vizuri yale tuliyopingaMie wajua pa kunipata lakini hata nikitoroka humu pa kunibambia wapajua. Teh teh teh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawashangaa nyie YangaMbona umetumvua majicho?
Hahahaaa, nimeipenda hiyo kaulimbiu aiseeHahahaaa. Inabidi wajilazimishe kuuelewa kwa kweli Swahiba.
Pia nakazia "DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Hahahaaa. Hapo kweli utakuwa umedhamiria.Yaani hadi hapo unapojifunika shuka, nakuja nakufunua hilo shuka halafu tuulizane vizuri yale tuliyopinga
Hata sisi tunakushangaa hivyo hivyo. Vipi ile rekodi mloweka ya kupanda ndege kuna aloivunja tayari?Nawashangaa nyie Yanga
Ndioooo. [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahahaaa, nimeipenda hiyo kaulimbiu aisee
Ndioooo. [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ipende na wewe Sesten. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaaaa ,Yanga banaHata sisi tunakushangaa hivyo hivyo. Vipi ile rekodi mloweka ya kupanda ndege kuna aloivunja tayari?
Mmmh. Hivyo ungependa isomekeje Sesten? [emoji15]Ndio kitu pekee nakichukua toka kwenu, DAIMA MBELE NYUMA............
Hata ingekua Simba mbele daima nyuma mwiko isingekua mbaya, ndio maana nikasema kauli mbiu yenu ndio kitu pekee nilichokipenda kutoka YangaπππMmmh. Hivyo ungependa isomekeje Sesten? [emoji15]
Hahahaaaa. Sawa Sesten.Hata ingekua Simba mbele daima nyuma mwiko isingekua mbaya, ndio maana nikasema kauli mbiu yenu ndio kitu pekee nilichokipenda kutoka Yangaπππ
Karibu HajarHahahaaaa. Sawa Sesten.
Japo mimi ni mpizani wako wa jadi na jadi lakini hili ni bandiko bora sanaGENERAL OBSERVATION
Kwa magoli hayo na points hizo bado nachelewa kusema kuwa Young Africans hawaendi popote walishafanya makosa makubwa sana hapo awali so nichukue nafasi hii tuu kuwapongeza kwa kuonesha heshima ya timu ikiwa katika uwanja wa nyumbani ila all in all Kwaheri Young African Sport Club.
RECOMENDATION
1.YASC,Jipangeni kwa mechi za Ligi kuu Tanzania Bara,Shikamaneni katika kipindi hiki kigumu kuweni na nguvu ,ari, moyo pamoja a umoja dhabiti najua haya yote yatapita .
2. Nichukue nafasi hii kwa dhati kabisa kumuombia Mzee Yusuph Manji popote pale alipo awasamehe wale woote waliomkosea kwa sababu hata katika vitabu vya Mungu vimeandika "DONT PAY EVIL FOR THE EVIL".
3. Kwa uongozi wa mpito uliopo pale Yanga kwa sasa niwaombe tuu kaeni meza moja na wadau boresheni muundo wa uendeshaji wa club kama serikali ilivyotoa maelekezo hapo awali huisheni uongozi huu Yanga ijiendeshe kama kampuni achaneni na porojo,ubabaishaji,uhuni,njaa pamoja na u-zero brain wa wazee wenye nia ovu na njaa kali kama mzee AKILIMALI mie namwita mzee AKILIPAPUCHI amabae yeye yupo tuu kuganga na kudanga na njaa zake ili Yanga iwe ngumu kutawalika yeye apate hela za kwenda kunywa vikashata vyake pale Kariakoo.
OMBI LANGU NJE YA MAPENDEKEZO TAJWA HAPO JUU
Wote tunafahamu nguvu kubwa aliyonayo mzee Manji pamoja na changamoto zote alizopitia hapo awali na pamoja na ugumu wa kiutawala anaouona unaotokana na wazee wanaojiita Yanga asili lakini bado ana mapenzi ya kweli na club hii kongwe.Niwaombe viongozi wa mpito mliopo kaeni na huyu mzee maadamu tayari alishaonesha nia ya kutaka kurudi ili kulisogeza gurudumu la Yanga mbele.
MWISHO ILA SIO KWA UMUHIMU
Mungu ibariki Tanzania,Mungu umbariki Rais wangu,Mungu ibariki Dar Young African Sport Club wawe na umoja ,Amani, Mshikamano leo,kesho na hata milele,AMEEEEEEEEEEEEEENI.