MmhHivi kumbe leo Yanga anacheza? *...Yaani mechi za Yanga siku hizi zinafanywa siri kama Shuguli ya Kukeketa*π€£π€£π€£π€£
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa. Umeona mwaya. Si haba kweli.
Hahaaaa. Umeona mwaya. Si haba kweli.
Swahiba ndio naibuka aisee. Nawasikitikia wale aliokuwa upande wa Usm Alger sijui walitokea upande gani jana.
Safi saaanaaaaa. ππππ
Mmh. Mtani naona uliweka Kambi aiseee.
Hahahaaaaa. Hawachelewi hao. Teh teh tehUshindwe na ulegee...na ole wenu mumpakazie tena kesi kanjibai wetu ....tunawaroga nyinyi nyote mfyuuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Waaambie haooo.Kwa mpira huu wa Yanga, Simba watachezea kichapo cha mbwa mwizi
Mmmh. Mtaniiii.Updates?
Aiseeee. Hatimae nimekuona tena Songa heri.2-1
Yanga mbele 88β
Hahahaaaa, mnakumbuka shuka wakati kumekucha? Lakini si vibaya mmejifuta machozi kidogo Hajar
Yanga lia lia tena kama Hajar. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada kumbe na weye Yanga mwenzangu.Kuna mtu kanidanganya kuwa yanga tumefungwa.
Kama mie Swahiba aiseee.Nipo sana tu best yangu. Leo Yanga imenipa furaha
Yaani inarudi Swahiba. Wajipange
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kujipa moyo huko ndio kunawaleteaga maumivuYaani inarudi Swahiba. Wajipange
Hahahaaa polemi sana jamani. maana mnastahili pole badala ya hongeraHahaaa. Maneno tu hayo Sesten.
Kwa hali tuliyokuwa nayo acheni tu tujifunike hilo shuka kwa kweli.