mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 944
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha Best iĺinibidi nifanye hivyo tu kwa mstakabali wa maisha yanguAaaaah!! Best unaniangusha sasa. Why[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kumbe na wewe ni Yanga?Kuna mtu kanidanganya kuwa yanga tumefungwa.
Hell NO, ktk hilo siwezi kukuelewa best.Hahaha Best iĺinibidi nifanye hivyo tu kwa mstakabali wa maisha yangu
Yes.
Ndiooooooooo.
Nitakupa story zaidi PM BestHell NO, ktk hilo siwezi kukuelewa best.
Hahaaaa. Beira leo sababu Yanga kashinda basi Mashetani wamekuwa malaika lol.
Aiseee. Hatimaye Swahiba.Kila lakheri timu yangu Yanga
Hahaaaa. Mtani jana nilibanwa na vitu flani aisee mpaka sikuingia tena humu.