Kombe la Shirikisho Barani Afrika 'CAF' Azam FC dhidi ya Triangle United, Wazimbabwe Lazima Wakae!

Shida nikwamba wanaungwa mkono nawenye mikosi yao
 
Azam FC 0-1 Triangle United...!

Dakika zinayoyoma huku matumaini yakiwa hafifi kupata bao, lakini mpira dakika 90'
 
Mchezo tunaoweza ni kuwa mawakala wa MABEBERU tu, mingine hatuwezi.
 
80' Chirwa anakwendaaaaa, Off Side..Mwamuzi msaidizi kibedera kiko juu
Mungu ibariki Azam FC
 
85' Namna gani hapa Salum Abubakar anapoteza mpira kirahisi, pressure ni kuwa kwa wenyeji, huku faida kwa Triangle
 
Kwa Tanzania hii ndo hatua ya mwisho kwa timu za Tanzania
 
90+5'

Kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa kombe la Shirikisho Afrika CAF.

Azam FC 0-1 Triangle United
 
90'+5'

Naaaaaaaaaaaaaaam...Mpira umekwisha uwanja wa Azam Complex, ambapo Azam FC wakipoteza kwa kufungwa bao moja bila majibu lililofungwa na Nahodha Ralph Kawondera

Mategemeo pekee yapo kwenye mechi ya marudiano huko Zimbabwe..!huenda Azam FC wakapindua matokeo

Azam FC 0-1 Triangle United

Asanteee sanaaaaa wako Ghazwat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…