Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Azam jeshii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam nataka itolewe ibaki Yanga tu kwenye mechi za kimataifa, azam iungane na ndugu zake simba kwenye ligi ya nyumbani
Bora hata ungelisema itolewe ucheze wewe. Jifunze kua mzalendoAzam nataka itolewe ibaki Yanga tu kwenye mechi za kimataifa, azam iungane na ndugu zake simba kwenye ligi ya nyumbani
Wapo Kwenye ligi ipi?Duh wamepigwa hawa watoto!!
Dah kweli nchi hii bila simba, hakuna kinachofanyika.
Kina nani mkuu!Wapo Kwenye ligi ipi?