Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua mkuu sisi darasa la 7B hatujaelewaDah dunia inashangaza sana
Yaani watoto wenye akili ndo huanza kufa na kumwacha kichaa anadunda tu.
😂😂😂Fafanua mkuu sisi darasa la 7B hatujaelewa
Patashika ya Kombe la Shirikisho Soka Barani Afrika, Kuendelea kutimua vumbi leo Jumapili ya September 15, 2019 ambapo wawakilishi wa Tanzania Azam FC wakiwakaribisha Triangle United ya kutoka nchini Zimbabwe kwenye Uwanja wa nyumbani wa Azam Complex.
Azam FC walisonga mbele kufikia hatua hii baada ya kuitoa Fasil Kenema ya Ethiopia kwa jumla ya mabao 3-2 baada ya mechi ya awali iliyopigwa nchini Ethiopia ambapo Fasil Kenema waliibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 na kufuatia mechi iliyopigwa jijini Dar es salaam ambapo Azam FC walitakata kwa ushindi wa mabao 3-1.
Mchezo huu ni burudani ya pekee wiki hii kwenye Kombe la Shirikisho, burudani ambayo si ya kukosa ewe Mzalendo, Mshabiki, Mwanachama na Mdau wa Kandanda, kwani Azam FC ndo wawakilishi wetu Kimataifa hapa nchini Tanzania, hivyo basi twendene kwa wingi tukaujaze Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Mbagala na kuwashangili vilivyo wawakilishi wetu wa ukweli Azam FC.
Wazimbabwe Lazima Wakae.....!KwaHisaniYaNguvuMoja..!Usikose Ukaambiwa, kumbuka mchezo ni kuanzia saa 10:00 jioni.
••••••••••=================•••••••
Mchezo wa kombe la Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF
Azam FC, wakicheza kwenye dimba lao la Azam Complex, licha ya kucheza vizuri na kutawala mchezo lakini wamejikuta wakikubali kichapo kwa kufungwa bao moja bila na Triangle United lililofungwa na Ralph Kawondera dakika ya 34 ya mchezo.
View attachment 1208104View attachment 1208106
Leo Azam wanashinda goli 3 kwa moja
😂😂😂😂😂😂😂😂Na Malindi kule Zenji nao wamewakirimu Wageni wao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na Malindi kule Zenji nao wamewakirimu Wageni wao.
Fafanua mkuu sisi darasa la 7B hatujaelewa
Naona wamewakaza kweli kweliAzam kazeni kende asee!
Msituangushe kaka zenu SSC! [emoji123][emoji123]
Nimefuta kauli mkuu, Soka letu linakera sana[emoji23][emoji23][emoji23] Tutake radhi Watanzania na wadau wa soka
simba walisema wao wanashangilia Azam tu,kupitia msemaji wao manaraAzam kila la kheri