Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Yaani tuwe robo fainali ya CAFCL halafu tumuonee gere Uto aliyefuzu CAFCC na kuweka historia jana baada ya miaka buku tangu Uto wawepo duniani (historia ambayo sisi tulishaiweka kitambo na tumeshasahau)?Na bado Smba inaenda kucheza Super Cup halafu iwaonee gere Watopolo?Maumivu ni makubwa kuliko hata hao Monastir wenyewe.
Simba hakupiga on target hata moja ushahidi huu hapa..(1) lete ushahidi
(2) Monastir kumfunga berkane bingwa wa vilaza si ajabu kwa sababu walikutana vilaza tupu.
(3) iyo mechi ambayo berkane alimfunga wydad ni kwa sababu wydad hakuweka full aliwapanga wachezaji vilaza.
Kama ni kombe rahisi, mbona mlishindwa kulibeba?(1) lete ushahidi
(2) Monastir kumfunga berkane bingwa wa vilaza si ajabu kwa sababu walikutana vilaza tupu.
(3) iyo mechi ambayo berkane alimfunga wydad ni kwa sababu wydad hakuweka full aliwapanga wachezaji vilaza.
Kwenye hiyo mechi wachezaji wote wa muhimu wa wydad hawakucheza walipangwa wale wachezaji vilaza ili wacheze na vilaza wenzao.Simba hakupiga on target hata moja ushahidi huu hapa..
Niambie ni wachezaji gani hao tegemeo wa Wydad ambao hawakucheza kwenye mchezo wa CAF super cup dhidi ya Bekane.
View attachment 2558849
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba haina shida na utopoloo kwenda robo tena kombe la losers, ilishafanya sanaaa, tena km kuongoza kundi sio habari mpyaaa kabisaa, simba iliongoza kundi kukiwa na waarabu wawili tena akiwemo Al Ahly. Na ilikua CL sio kombe LA losers.Kweli mikia akili ziko mikiani. Hapa zitajaa tred zenu kama ilivyo kawaida yenu. Hapo pamoja na mchezo wenu wa netball juzi bado mna maumivu makali Yanga kuwagonga wale waarabu.
Makahaba wa monastri naona maumivu hayajawaisha
Hakuna wa kumfunga Vipers ila yupo Mwamba wa kudumu Yanga, anaye mtandika Simba Kila anavyo jisikia.Salaam wakuu.
Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu mno vuta taswira timu inamaliza dakika 90 haina hata shuti lililolenga lango halafu bado kuna vilaza wanajisifu kushiriki mashindano kama haya...
Nakushauri tu,Kabla ya kwenda kibaruani kwako au kazini kwako make sure upate hata vidonge vya kupooza maumivu.Yaani tuwe robo fainali ya CAFCL halafu tumuonee gere Uto aliyefuzu CAFCC na kuweka historia jana baada ya miaka buku tangu Uto wawepo duniani (historia ambayo sisi tulishaiweka kitambo na tumeshasahau)?Na bado Smba inaenda kucheza Super Cup halafu iwaonee gere Watopolo...
Mkuu unamaliza calories zako bure kwa kumpa elimu mtu ambaye hana hata contents za kimpira.Simba hakupiga on target hata moja ushahidi huu hapa..
Niambie ni wachezaji gani hao tegemeo wa Wydad ambao hawakucheza kwenye mchezo wa CAF super cup dhidi ya Bekane.
View attachment 2558849
Chama kawapachika mimba ya mapacha watatu utopolomusonda kawaingiza kichwa tu monastr lakini cha ajabu ndugu wa juma bonge mwenyewe anajiita eti pep, wanaumia! why?
Wanaongoza kundi kwa CAF ya ma looser waliofeli vilaza
Kibonde wetu utopolo sisi tunajipigia 5 bilaHakuna wa kumfunga Vipers ila yupo Mwamba wa kudumu Yanga, anaye mtandika Simba Kila anavyo jisikia.
Akimtandika Simba Kwa miaka mingi kuliko timu yoyote Duniani.
Mbumbumbu fc kibonde wa Dar Young Africa wakudumu, Ukibisha uwe na Sababu[emoji2][emoji2].
Hili kombe mnaliponda ila ndio lilotoa thamani yenu kutokana na kupania kwenu mpaka mkaamua kulidhalilisha taifa kwa kuota moto katikati ya uwanja, tena kwenye nchi ya watu ujasiri huu ni waajabu haijawahi kutokea timu yoyote kufanya kama mlivyofanya nini, kufanya ushirikina kama lio ufanya nyinyi South Africa.Wanaongoza kundi kwa CAF ya ma looser waliofeli vilaza