Kombe la shirikisho hakuna timu ya kuifunga Vipers

Kombe la shirikisho hakuna timu ya kuifunga Vipers

Kweli mikia akili ziko mikiani. Hapa zitajaa tred zenu kama ilivyo kawaida yenu. Hapo pamoja na mchezo wenu wa netball juzi bado mna maumivu makali Yanga kuwagonga wale waarabu.
 
Maumivu ni makubwa kuliko hata hao Monastir wenyewe.
Yaani tuwe robo fainali ya CAFCL halafu tumuonee gere Uto aliyefuzu CAFCC na kuweka historia jana baada ya miaka buku tangu Uto wawepo duniani (historia ambayo sisi tulishaiweka kitambo na tumeshasahau)?Na bado Smba inaenda kucheza Super Cup halafu iwaonee gere Watopolo?

Najua wewe huwa huelewi kirahisi isipokuwa kwa mifano. Kwamba mwanafunzi anayepata 'A' kwenye mitihani ya taifa anaweza kumwonea nongwa mwanafunzi mwenzie anayeishia kupata 'C' kwenye mitihani ya aina hiyo? Uto matatizo ya ufikiri.

Na ili mjua kuwa tunawaonaga nyie ni wadogo kwetu linapokuja suala la kimataifa Kuna mwaka tuliwaazimisha wachezaji wetu Monja Loseki, Shaaban Ramadhani na Alphonce Modest ili wawasaidie kwenye michuano ya kimataifa. Tungekuwa tunaumizwa na 'mafanikio yenu madogo hayo' tungewaazimisha wachezaji? Uto mna tatizo la afya ya akili.
 
Kombe la Kuku... mshindi wa kwanza anapata pair za socks, mshindi wa pili anapata catton ya maji. kuwajadiri ni kuwapa airtime bila sababu za msingi ukizingatia hata Mianzini Fc inaweza shiriki hilo kombe la Kuku broiler
 
(1) lete ushahidi
(2) Monastir kumfunga berkane bingwa wa vilaza si ajabu kwa sababu walikutana vilaza tupu.
(3) iyo mechi ambayo berkane alimfunga wydad ni kwa sababu wydad hakuweka full aliwapanga wachezaji vilaza.
Simba hakupiga on target hata moja ushahidi huu hapa..

Niambie ni wachezaji gani hao tegemeo wa Wydad ambao hawakucheza kwenye mchezo wa CAF super cup dhidi ya Bekane.
View attachment 2558849
 
Kama ni kombe rahisi, mbona mlishindwa kulibeba?

Acheni kulialia.
 
Simba hakupiga on target hata moja ushahidi huu hapa..

Niambie ni wachezaji gani hao tegemeo wa Wydad ambao hawakucheza kwenye mchezo wa CAF super cup dhidi ya Bekane.
View attachment 2558849
Kwenye hiyo mechi wachezaji wote wa muhimu wa wydad hawakucheza walipangwa wale wachezaji vilaza ili wacheze na vilaza wenzao.
 
Makahaba wa monastri naona maumivu hayajawaisha😅
 
Kweli mikia akili ziko mikiani. Hapa zitajaa tred zenu kama ilivyo kawaida yenu. Hapo pamoja na mchezo wenu wa netball juzi bado mna maumivu makali Yanga kuwagonga wale waarabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba haina shida na utopoloo kwenda robo tena kombe la losers, ilishafanya sanaaa, tena km kuongoza kundi sio habari mpyaaa kabisaa, simba iliongoza kundi kukiwa na waarabu wawili tena akiwemo Al Ahly. Na ilikua CL sio kombe LA losers.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mje na jipyaaa, simba ilishafanya zaman sanaa.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Salaam wakuu.

Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu mno vuta taswira timu inamaliza dakika 90 haina hata shuti lililolenga lango halafu bado kuna vilaza wanajisifu kushiriki mashindano kama haya...
Hakuna wa kumfunga Vipers ila yupo Mwamba wa kudumu Yanga, anaye mtandika Simba Kila anavyo jisikia.
Akimtandika Simba Kwa miaka mingi kuliko timu yoyote Duniani.

Mbumbumbu fc kibonde wa Dar Young Africa wakudumu, Ukibisha uwe na Sababu[emoji2][emoji2].
 
Yaani tuwe robo fainali ya CAFCL halafu tumuonee gere Uto aliyefuzu CAFCC na kuweka historia jana baada ya miaka buku tangu Uto wawepo duniani (historia ambayo sisi tulishaiweka kitambo na tumeshasahau)?Na bado Smba inaenda kucheza Super Cup halafu iwaonee gere Watopolo...
Nakushauri tu,Kabla ya kwenda kibaruani kwako au kazini kwako make sure upate hata vidonge vya kupooza maumivu.

Hizi paragraph zote ulizotiririka bado inaonyesha kua maumivu ya kufungwa kwa Monastir bado unayo.
 
Simba hakupiga on target hata moja ushahidi huu hapa..

Niambie ni wachezaji gani hao tegemeo wa Wydad ambao hawakucheza kwenye mchezo wa CAF super cup dhidi ya Bekane.
View attachment 2558849
Mkuu unamaliza calories zako bure kwa kumpa elimu mtu ambaye hana hata contents za kimpira.

Sasa kama anakuambia kua Wydad waliweka wachezaji ambao sio regular starter kwenye mechi ya CAF SUPER CUP huyo si ana matatizo.Mkuu unamaliza calories zako bure kwa kumpa elimu mtu ambaye hana hata contents za kimpira.
 
Hakuna wa kumfunga Vipers ila yupo Mwamba wa kudumu Yanga, anaye mtandika Simba Kila anavyo jisikia.
Akimtandika Simba Kwa miaka mingi kuliko timu yoyote Duniani.
Mbumbumbu fc kibonde wa Dar Young Africa wakudumu, Ukibisha uwe na Sababu[emoji2][emoji2].
Kibonde wetu utopolo sisi tunajipigia 5 bila
 
Wewe kama ulisema La Liga ni bora kuliko epl sina la kuongea zaidi

Screenshot_2023-03-20-10-44-32-250_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Ila hizi timu inabidi lije litokee jamaa lenye roho mbaya sana alafu lizifute zote mbili, naona zinaharibu vijana hasa hii nyekundu na nyeupe naona mavijana yake ndio hovyo sana yani ni majinga haswaa.
 
Wanaongoza kundi kwa CAF ya ma looser waliofeli vilaza
Hili kombe mnaliponda ila ndio lilotoa thamani yenu kutokana na kupania kwenu mpaka mkaamua kulidhalilisha taifa kwa kuota moto katikati ya uwanja, tena kwenye nchi ya watu ujasiri huu ni waajabu haijawahi kutokea timu yoyote kufanya kama mlivyofanya nini, kufanya ushirikina kama lio ufanya nyinyi South Africa.

Mmewatia hasara wenzenu kukarabati pichi yao upya,chaki za kati zikabadilika na kuwa nyeusi.
 
Back
Top Bottom