Kombe la shirikisho hakuna timu ya kuifunga Vipers

Mobile toilet on the work!! Bullshit🚮🚮🚮
 
Vipi tangia mmeshiriki mmewahi kuchukua kombe hilo?
 
Unajitoa ufahamu wakati akili unazo!
Umesahau wakati Vipers wanaifunga Yanga upande wapili TP Mazembe aliye mkiani kwenye makundi ya kombe la shirikisho la CAF aliwafanya nini Simba?
 
Halafu unatamba kuwa nawe unajua na kuufatilia mpira. Hata mashindano anayoshiriki timu yako hauyajui. Super cup ni shindano linalohusha bingwa wa CAF confederation cup vs bingwa wa CAF champions league
 
Unajitoa ufahamu wakati akili unazo!
Umesahau wakati Vipers wanaifunga Yanga upande wapili TP Mazembe aliye mkiani kwenye makundi ya kombe la shirikisho la CAF aliwafanya nini Simba?
Mwaka gani huo unachanganya miaka.Mazembe ya sasa ni nyanya tu halina siri.Utafananisha na Mazembe ta miaka hiyo?
 
Mwaka gani huo unachanganya miaka.Mazembe ya sasa ni nyanya tu halina siri.Utafananisha na Mazembe ta miaka hiyo?
Na Yanga aliyefungwa na Vipers matokeo yake mechi nne zilizo pita dhidi ya Simba yalikuwaje?
 
na vipers ndo ilitakiwa iende robo sema kuna timu kwa kujambia jambia wenzao ndo wenyewe,wapo tayari hata kuua watu(kafara) ilimradi tu wafike robo na si kingine wao robo tu kye kye kyeee
 
Shida yote ni Kwa ajili ya Yanga kumfunga mwarabu aitwae Monastir
 
Utopolo hawawezi kabisa kujilinganisha na Mnyama, whatever wanafanya huko kwa watoto wenzao, kwa mnyama ni utoto mtupu.
Huko Kwa wakubwa una nini ulichoshinda wewe!?
Una kombe!!?
 
Fact
 
Simba hajawahi kulidharau hilo kombe bali simba tuna fuata maneno ya msemaji wenu aliye liita kombe la maruza na vilaza.

Kwa hiyo yanga anashiriki kombe la vilaza kwa mujibu wa msemaji wenu.
Huko Kwa vipanga una kombe Gani boss!!?
 
Mlijua mwarabu atatufunga,aahhaahahah
 
Halafu unatamba kuwa nawe unajua na kuufatilia mpira. Hata mashindano anayoshiriki timu yako hauyajui. Super cup ni shindano linalohusha bingwa wa CAF confederation cup vs bingwa wa CAF champions league
Kwani mi nimebisha hapo?haya taja timu zitazoshiriki hiyo super cup
 
Dah mpo desperate kweli Simba ilikuwepo na jina hilo hilo 1939?Au feki zenu kama mikataba ya wachezaji wenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…