Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utoto Raha sanaWee hayo makombee unayooo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmevurugwaaa vibayaa mnoooo, poleeeeeeeeeh.
Mobile toilet on the work!! Bullshit🚮🚮🚮Salaam wakuu.
Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu mno vuta taswira timu inamaliza dakika 90 haina hata shuti lililolenga lango halafu bado kuna vilaza wanajisifu kushiriki mashindano kama haya.
Mashindano ambayo hata vigezo vya kushiriki havifahamiki usishangae msimu ujao Malimao FC ukaona wanashiriki hii michuano hii ya kimlenda kwa sababu hakuna vigezo maalum vya kushiriki hata timu iliyomaliza nafasi ya 9 ligi ya Shelisheli inaweza ikashiriki haya mashindano ndio maana timu zake nyingi ni dhaifu.
MFANO mzuri timu kama VIPERS ambayo ni mwisho kwenye kundi lake HUKO KWA MABINGWA WENZIE amewagonga vilaza wanaoshiriki ligi ya waliofeli kama YANGA ambae anaongoza kundi lake huko kwa mazezeta tena akamfunga kilaza mwingine TP MAZEMBE na wote akiwapigia mpira mkubwa.
MWISHO NISEME VIPERS ANGEKUWA HUKU KWA VILAZA ANGECHUKUA KOMBE.
Vipi tangia mmeshiriki mmewahi kuchukua kombe hilo?Kuzidi pointi 8 hoja?Hata Arsenal anaongoza kwa pointi 8 lakini bado ni vibonde tu.
Mafanikio ya mwaka 1 kwenye Losers Cup ndio mnatamba.
Simba wakicheza losers Cup ni kufeli.Ndani ya miaka 6 Champions League robo fainali 3 .Ukiweza at least kuwa regular timu kwenye makundi rudi hapa utambe.
Mara ya mwisho makundi Champions league 1998 na mkamaliza na pointi 2.
Unajitoa ufahamu wakati akili unazo!MFANO mzuri timu kama VIPERS ambayo ni mwisho kwenye kundi lake HUKO KWA MABINGWA WENZIE amewagonga vilaza wanaoshiriki ligi ya waliofeli kama YANGA ambae anaongoza kundi lake huko kwa mazezeta tena akamfunga kilaza mwingine TP MAZEMBE na wote akiwapigia mpira mkubwa.
Halafu unatamba kuwa nawe unajua na kuufatilia mpira. Hata mashindano anayoshiriki timu yako hauyajui. Super cup ni shindano linalohusha bingwa wa CAF confederation cup vs bingwa wa CAF champions leagueSimba anacheza klabu bingwa africa(narudia klabu bingwa africa)na atacheza super cup na wakubwa wenzake...ila sasa yanga afirika yeye yupo na kina malumo sjui???sasa timu inaitwa malumo kweli jamani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...haya wananchi endeleeni kujitandikia vibonde huko kina malumo
Mwaka gani huo unachanganya miaka.Mazembe ya sasa ni nyanya tu halina siri.Utafananisha na Mazembe ta miaka hiyo?Unajitoa ufahamu wakati akili unazo!
Umesahau wakati Vipers wanaifunga Yanga upande wapili TP Mazembe aliye mkiani kwenye makundi ya kombe la shirikisho la CAF aliwafanya nini Simba?
Na Yanga aliyefungwa na Vipers matokeo yake mechi nne zilizo pita dhidi ya Simba yalikuwaje?Mwaka gani huo unachanganya miaka.Mazembe ya sasa ni nyanya tu halina siri.Utafananisha na Mazembe ta miaka hiyo?
na vipers ndo ilitakiwa iende robo sema kuna timu kwa kujambia jambia wenzao ndo wenyewe,wapo tayari hata kuua watu(kafara) ilimradi tu wafike robo na si kingine wao robo tu kye kye kyeeeSalaam wakuu.
Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu mno vuta taswira timu inamaliza dakika 90 haina hata shuti lililolenga lango halafu bado kuna vilaza wanajisifu kushiriki mashindano kama haya.
Mashindano ambayo hata vigezo vya kushiriki havifahamiki usishangae msimu ujao Malimao FC ukaona wanashiriki hii michuano hii ya kimlenda kwa sababu hakuna vigezo maalum vya kushiriki hata timu iliyomaliza nafasi ya 9 ligi ya Shelisheli inaweza ikashiriki haya mashindano ndio maana timu zake nyingi ni dhaifu.
MFANO mzuri timu kama VIPERS ambayo ni mwisho kwenye kundi lake HUKO KWA MABINGWA WENZIE amewagonga vilaza wanaoshiriki ligi ya waliofeli kama YANGA ambae anaongoza kundi lake huko kwa mazezeta tena akamfunga kilaza mwingine TP MAZEMBE na wote akiwapigia mpira mkubwa.
MWISHO NISEME VIPERS ANGEKUWA HUKU KWA VILAZA ANGECHUKUA KOMBE.
Shida yote ni Kwa ajili ya Yanga kumfunga mwarabu aitwae MonastirSalaam wakuu.

Makolo wanaumiaaaaaaaaa
Huko Kwa wakubwa una nini ulichoshinda wewe!?Utopolo hawawezi kabisa kujilinganisha na Mnyama, whatever wanafanya huko kwa watoto wenzao, kwa mnyama ni utoto mtupu.
FactNakupa fact wewe usiyejua mpira.
1) Kuna mechi ilichezwa Yanga vs Simba na Simba hakupiga hata on target hata moja vipi Simba ni dhaifu?
2) Leo hii unaona timu zilizopo Caf confederation ni dhaifu kwasababu unajua mdako na marede ungekuwa unaujua mpira usingeongea hayo.
Monastir ndiye timu iliyomtoa bingwa mtetezi wa CAF confederation cup ambaye ni Berkane. Na huyu Berkane ndiye bingwa mtetezi pia wa CAF super cup kombe ambalo alilipata kwa kumfunga bingwa wa CAF champions league (Wydad) goli mbili kwa bila.
3) Kitendo cha bingwa wa CAF champions league kuchezea magoli mawili kwa bila kutoka kwa bingwa wa CAF confederation cup inadhihirisha wazi kuwa timu zilizopo shirikisho ni timu zilizo na ushindani na ubora.
Makombe yao ni robo fainali na kuwafunga Al AhylVipi tangia mmeshiriki mmewahi kuchukua kombe hilo?
Huko Kwa vipanga una kombe Gani boss!!?Simba hajawahi kulidharau hilo kombe bali simba tuna fuata maneno ya msemaji wenu aliye liita kombe la maruza na vilaza.
Kwa hiyo yanga anashiriki kombe la vilaza kwa mujibu wa msemaji wenu.
Mlijua mwarabu atatufunga,aahhaahahahYaani tuwe robo fainali ya CAFCL halafu tumuonee gere Uto aliyefuzu CAFCC na kuweka historia jana baada ya miaka buku tangu Uto wawepo duniani (historia ambayo sisi tulishaiweka kitambo na tumeshasahau)?Na bado Smba inaenda kucheza Super Cup halafu iwaonee gere Watopolo?
Najua wewe huwa huelewi kirahisi isipokuwa kwa mifano. Kwamba mwanafunzi anayepata 'A' kwenye mitihani ya taifa anaweza kumwonea nongwa mwanafunzi mwenzie anayeishia kupata 'C' kwenye mitihani ya aina hiyo? Uto matatizo ya ufikiri.
Na ili mjua kuwa tunawaonaga nyie ni wadogo kwetu linapokuja suala la kimataifa Kuna mwaka tuliwaazimisha wachezaji wetu Monja Loseki, Shaaban Ramadhani na Alphonce Modest ili wawasaidie kwenye michuano ya kimataifa. Tungekuwa tunaumizwa na 'mafanikio yenu madogo hayo' tungewaazimisha wachezaji? Uto mna tatizo la afya ya akili.
Kwani mi nimebisha hapo?haya taja timu zitazoshiriki hiyo super cupHalafu unatamba kuwa nawe unajua na kuufatilia mpira. Hata mashindano anayoshiriki timu yako hauyajui. Super cup ni shindano linalohusha bingwa wa CAF confederation cup vs bingwa wa CAF champions league
.Utopolo nguvu unapata wapi [emoji196] ikiwa haya maumivu bado unayo moyoni.View attachment 2558916