Simba tumepigwa 3 kwa 2
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Simba hii kuiangalia inaongeza afya mwilini[emoji1]
Hivi ule utaratibu wa kulipia mechi msimu mzima bongo hakuna?
Acha hasira ndio timu yenu hiyoGoli la tatu nila Munishi, goli gani lile la kufungwa.
Kimepanuliwa sasaNamna gani Wazee wa kikosi kipana.
Maskini akipata mkuu,yan wao kila timu wanaiona ina njaa,huyo tajiri yao bado hajafikia kutoa pesa alizokua anatoa manji pale Yanga,lkn Yanga wote utani wetu ulikua unahusu mambo ya mpira,hatujawahi kuiita timu yyt omba ombaNa bado...Kinachoiponza Simba hii ni majigambo, majivuno na kejeli...Kwa mashabiki kuwa na majigambo ni kawaida duniani kote...Tatizo la Simba lipo kwa baadhi ya viongozi...hawana lugha ya heshima kwa wapinzani..Lugha ya dharau na majigambo ndiyo inayotawala...msemaji wa Simba amejaa kebehi na dharau na kusahau kuwa yeye ni kiongozi...Sasa dharau hii ndiyo inayozifanya timu nyingine zicheze kwa hasira...yaani dharau na majivuno ya viongoziwa Simba inakuwa ni kichocheo na motisha kwa timu nyingine...Subirini muone kwenye mechi zijazo za ligi....
Nikwambie kitu Shadeeya, Simba akishiba hua hasumbuki kuwinda vinyama vidogovidogo😎😎😎
Asante sana mkuu ingawa sikutarajia tusi la namna hii kutoka kwako. Ni mpira tu ndio unafanya unitusi hivi au kuna jingine nililokukosea nikuombe radhi?Sawa dada tumekusikia tuma salamu kwa mashoga wenzio
Kufurahi kwako kusikufikishe huko..hujafa hujaumbika
Mkuu watu wanavuka mipaka ya ushabiki na utani, kuna mtu kanitusi humu mpaka najiuliza pengine kuna jambo lingine nje ya ushabiki wa mpira nimemkoseaKufurahi kwako kusikufikishe huko..hujafa hujaumbika, halafu nimeangalia Avatar yako..Yaonyesha una chuki naye sana
Afadhali tupumue maana mmh na kuna msemaji wao Yule mwenye ulemavi yaan chefyuuuuu
Hongera kwa kuongeza afyaSimba hii kuiangalia inaongeza afya mwilini[emoji1]
Hivi ule utaratibu wa kulipia mechi msimu mzima bongo hakuna?