Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC): Simba SC 2-3 Mashujaa FC | Uwanja wa Taifa, Dar es salaam | 26/12/2018

Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC): Simba SC 2-3 Mashujaa FC | Uwanja wa Taifa, Dar es salaam | 26/12/2018

Simba tumepigwa 3 kwa 2

Na bado...Kinachoiponza Simba hii ni majigambo, majivuno na kejeli...Kwa mashabiki kuwa na majigambo ni kawaida duniani kote...Tatizo la Simba lipo kwa baadhi ya viongozi...hawana lugha ya heshima kwa wapinzani..Lugha ya dharau na majigambo ndiyo inayotawala...msemaji wa Simba amejaa kebehi na dharau na kusahau kuwa yeye ni kiongozi...Sasa dharau hii ndiyo inayozifanya timu nyingine zicheze kwa hasira...yaani dharau na majivuno ya viongoziwa Simba inakuwa ni kichocheo na motisha kwa timu nyingine...Subirini muone kwenye mechi zijazo za ligi....
 
Dah!hawa mashujaa wa kitaifa,wametuondolea kelele zote za mjini!
IMG-20181226-WA0004.jpeg
 
Kumbe hii misemo bado inafanya kazzz....

"Mdharau mwiba .....
..
Malizieni mm bado niko kwa mangi namalizia soda yangu ya ushindi
 
Na bado...Kinachoiponza Simba hii ni majigambo, majivuno na kejeli...Kwa mashabiki kuwa na majigambo ni kawaida duniani kote...Tatizo la Simba lipo kwa baadhi ya viongozi...hawana lugha ya heshima kwa wapinzani..Lugha ya dharau na majigambo ndiyo inayotawala...msemaji wa Simba amejaa kebehi na dharau na kusahau kuwa yeye ni kiongozi...Sasa dharau hii ndiyo inayozifanya timu nyingine zicheze kwa hasira...yaani dharau na majivuno ya viongoziwa Simba inakuwa ni kichocheo na motisha kwa timu nyingine...Subirini muone kwenye mechi zijazo za ligi....
Maskini akipata mkuu,yan wao kila timu wanaiona ina njaa,huyo tajiri yao bado hajafikia kutoa pesa alizokua anatoa manji pale Yanga,lkn Yanga wote utani wetu ulikua unahusu mambo ya mpira,hatujawahi kuiita timu yyt omba omba
 
Sawa dada tumekusikia tuma salamu kwa mashoga wenzio
Asante sana mkuu ingawa sikutarajia tusi la namna hii kutoka kwako. Ni mpira tu ndio unafanya unitusi hivi au kuna jingine nililokukosea nikuombe radhi?

Mimi ni shabiki wa mpira lakini sio shabiki muhuni, naongea na kutaniana na watu humu kwa furaha na heshima na nilivyolelewa siwezi kukurudishia kwa sababu sio kutamka tu lakini hata vidole vyangu haviwezi kuthubutu ku type tusi lolote kwa yeyote

Mungu Akubariki sana
 
Afadhali tupumue maana mmh na kuna msemaji wao Yule mwenye ulemavi yaan chefyuuuuu

Ndugu yangu ni kweli yeye ni msema ovyo na hana sifa za kuwa kiongozi wa soka, lakini tafadhali usihusishe suala la ulemavu..tujadili soka na siyo ulemavu...yeye hakupenda kuwa mlemavu...ni mapenzi ya Mwenyezi Mungu...tuache mambo ya ulemavu, sura, kabila, rangi na kadhalika...tujadili soka tu..
 
Back
Top Bottom