Simba tumepigwa 3 kwa 2
Na bado...Kinachoiponza Simba hii ni majigambo, majivuno na kejeli...Kwa mashabiki kuwa na majigambo ni kawaida duniani kote...Tatizo la Simba lipo kwa baadhi ya viongozi...hawana lugha ya heshima kwa wapinzani..Lugha ya dharau na majigambo ndiyo inayotawala...msemaji wa Simba amejaa kebehi na dharau na kusahau kuwa yeye ni kiongozi...Sasa dharau hii ndiyo inayozifanya timu nyingine zicheze kwa hasira...yaani dharau na majivuno ya viongoziwa Simba inakuwa ni kichocheo na motisha kwa timu nyingine...Subirini muone kwenye mechi zijazo za ligi....