Unamsikiliza mropokaji Jerry Muro.Wala sio visingizio Mtani. Mumeonekana huko.
Tuombe uzima tuone yatakayotokea hiyo kesho.
msiingize timu sasa,Nimesikia za chini chini muko kambini walipo Gwambina ila hatujali hiyo kesho kwetu ushindi ndio muhimu.
mmeshaanza kutafuta sababu tunataka muanzishe uzi na mechi yenu maana mnakuwa baridi ila tukicheza mnajaaYah leo nina kijinafasi nimeona nije niwachemshe kidogo. π π π
Usijali Mkuu. Ombea tu Umeme kwangu usikatike Mkuu. π
Utakuwa na nguvu hizo besti mana tutawakera mapeema.
Yaani hatutamchelewesha Gwambina.
Umeona hata uzi umechangamka kidogo mana mlikuwa mshaukimbia. Kisa mnaogopa mtatolewa. [emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahaaa. Ulivyokuja kwa mikatiko ni dhahiri haukuwa na hali nzuri Mtani. π πmsiingize timu sasa,
Sisi hatupendi kujaza sever za Jf ujue.mmeshaanza kutafuta sababu tunataka muanzishe uzi na mechi yenu maana mnakuwa baridi ila tukicheza mnajaa
ππ