Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Stand United Vs Simba SC, Dimba la Kambarage

Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Stand United Vs Simba SC, Dimba la Kambarage

Wala sio visingizio Mtani. Mumeonekana huko.

Tuombe uzima tuone yatakayotokea hiyo kesho.
Unamsikiliza mropokaji Jerry Muro.

Huyu amekuja kukumalizeni kabisa, mtani hangaikeni kuiandaa timu na kurekebisha mapungufu, huyo anataka kesho mkishinda aonekane ana umuhimu kuliko waliopo.

Sasa hata kama wakipewa fedha na Simba na wao Gwambina uwezo ndogo itakuwaje? Mpira ni sanyansi Shadeeya
 
Back
Top Bottom