Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Stand United Vs Simba SC, Dimba la Kambarage

Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Stand United Vs Simba SC, Dimba la Kambarage

Hahahaaa. Umefanya nicheke.

Ulishaanza kuwa mahututi pale shukuru tu umepata nguvu ya kujiinua la sivyo ulikuwa unaenda mazima Mtani.

Ila leo umeteseka bana. 😅😅😅 Yaani ulikuwa mdogo mbaya.
Hahaha acha tu Shadeeya penalty zisikie kwa jirani tu, unaweza kujikuta unanyooka tuli watu wakajua umelala kumbe ndo safari.
Jambo la kushukuru tumeshinda tunajipanga kwa mechi zijazo.

Simba nguvu moja
 
Shadeeya, Naona sasa mmeanza visingizio ili kesho mpate pa kusemea, mbona Simba SC hatusemi kuwa mlikuwepo kambini kwa Stand Utd?

Unajua maana ya Gwambina, jiandae Kisaikolojia..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimesikia za chini chini muko kambini walipo Gwambina ila hatujali hiyo kesho kwetu ushindi ndio muhimu.
 
Hahaha acha tu Shadeeya penalty zisikie kwa jirani tu, unaweza kujikuta unanyooka tuli watu wakajua umelala kumbe ndo safari.
Jambo la kushukuru tumeshinda tunajipanga kwa mechi zijazo.

Simba nguvu moja
Yaani ni kweli usemalo Mtani ndio mana huwa kiufupi sizipendi penalti.

Nakumbuka enzi zile za Mtani jembe kuna mechi tulienda matuta na nyie mbona nilienda chumbani kujifungia mana sikuwa naelewa kinachoendelea. 🤣🤣🤣 Penalti hapana kwa kweli.

Yah! Mumeshamaliza kazi imebakia zamu yetu kesho mana mtakuwa miguu juu mnatuachia sisi mtetemeko. 🤣🤣🤣
 
Shadeeya, Naona sasa mmeanza visingizio ili kesho mpate pa kusemea, mbona Simba SC hatusemi kuwa mlikuwepo kambini kwa Stand Utd?

Unajua maana ya Gwambina, jiandae Kisaikolojia..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala sio visingizio Mtani. Mumeonekana huko.

Tuombe uzima tuone yatakayotokea hiyo kesho.
 
IMG_20200225_190817.jpg
IMG_20200225_190822.jpg

IMG_20200225_190813.jpg

IMG_20200225_190807.jpg

Baada ya ushindi dhidi ya Stand United ambao unatuwezesha kusonga mbele kwenye Kombe la Shirikisho, kikosi kimeanza safari ya kurudi Mwanza. #NguvuMoja Simba Sports Club on Twitter
 
Back
Top Bottom