Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Hahaha acha tu Shadeeya penalty zisikie kwa jirani tu, unaweza kujikuta unanyooka tuli watu wakajua umelala kumbe ndo safari.Hahahaaa. Umefanya nicheke.
Ulishaanza kuwa mahututi pale shukuru tu umepata nguvu ya kujiinua la sivyo ulikuwa unaenda mazima Mtani.
Ila leo umeteseka bana. 😅😅😅 Yaani ulikuwa mdogo mbaya.
Jambo la kushukuru tumeshinda tunajipanga kwa mechi zijazo.
Simba nguvu moja