Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Hahaha acha tu Shadeeya penalty zisikie kwa jirani tu, unaweza kujikuta unanyooka tuli watu wakajua umelala kumbe ndo safari.Hahahaaa. Umefanya nicheke.
Ulishaanza kuwa mahututi pale shukuru tu umepata nguvu ya kujiinua la sivyo ulikuwa unaenda mazima Mtani.
Ila leo umeteseka bana. π π π Yaani ulikuwa mdogo mbaya.
Ulishapanic hapa. LolKagere hajui kupiga penati,sijui wanampaga za Nini! Aaaa!
Na hakuna goli la offside kesho ujue ShadeeyaNimesikia za chini chini muko kambini walipo Gwambina ila hatujali hiyo kesho kwetu ushindi ndio muhimu.
Hahahaaaa, hamkosi visingizio Wananchi nyinyiNimesikia za chini chini muko kambini walipo Gwambina ila hatujali hiyo kesho kwetu ushindi ndio muhimu.
We subiria. Taimu wili teli. πMsije mkaolewa tu na sare zenu hiyo tatehe nane,π€ͺ
Tuombe uzima, usije kuyakana maneno yako tunaweka kumbukumbu na tumeshawatahadharisha TANESCO wasikukatie umeme siku hiyo hata kama watakata nchi nzimaπππWe subiria. Taimu wili teli. π
Nimesikia za chini chini muko kambini walipo Gwambina ila hatujali hiyo kesho kwetu ushindi ndio muhimu.
Yaani ni kweli usemalo Mtani ndio mana huwa kiufupi sizipendi penalti.Hahaha acha tu Shadeeya penalty zisikie kwa jirani tu, unaweza kujikuta unanyooka tuli watu wakajua umelala kumbe ndo safari.
Jambo la kushukuru tumeshinda tunajipanga kwa mechi zijazo.
Simba nguvu moja
Wameshaanza visingizio mapeema kabisaπ€£π€£π€£Shadeeya, Naona sasa mmeanza visingizio ili kesho mpate pa kusemea, mbona Simba SC hatusemi kuwa mlikuwepo kambini kwa Stand Utd?
Unajua maana ya Gwambina, jiandae Kisaikolojia..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio magoli yetu hayo Ses. ππNa hakuna goli la offside kesho ujue Shadeeya
Ewaaaaaaa.Tuombe uzima, usije kuyakana maneno yako tunaweka kumbukumbu na tumeshawatahadharisha TANESCO wasikukatie umeme siku hiyo hata kama watakata nchi nzimaπππ
Visingizio wapi wakati wachawi wetu mumeonekana huko.Hahahaaaa, hamkosi visingizio Wananchi nyinyi
Kubalini tu timu hamna pale
Shadeeya, Shadeeya, Shadeeya!Sio magoli yetu hayo Ses. ππ
Wala sio visingizio Mtani. Mumeonekana huko.Shadeeya, Naona sasa mmeanza visingizio ili kesho mpate pa kusemea, mbona Simba SC hatusemi kuwa mlikuwepo kambini kwa Stand Utd?
Unajua maana ya Gwambina, jiandae Kisaikolojia..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
InshaallahWala sio visingizio Mtani. Mumeonekana huko.
Tuombe uzima tuone yatakayotokea hiyo kesho.
πWa
Wameshaanza visingizio mapeema kabisaπ€£π€£π€£
Ndiooo. ππππShadeeya, Shadeeya, Shadeeya!
Wala tusiende mbali mechi ya Polisi mmewadhulumu goli lao zuri kabisa, nini sasa ile kama sio kupita kwa muamala?Ndiooo. ππππ