Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba taifa kubwa.Dilungaaaaaaa Goooooooooooooooooooaaal
Hassan Dilunga anaipatia Simba SC bao la kwanza kwa mkwaju wa penati kufuatia mchezaji wa Stand Utd kuunawa mpira eneo la kumi na nane
Stand United 0-1 Simba SC
Nguvu mojaDilungaaaaaaa Goooooooooooooooooooaaal
Hassan Dilunga anaipatia Simba SC bao la kwanza kwa mkwaju wa penati kufuatia mchezaji wa Stand Utd kuunawa mpira eneo la kumi na nane
Stand United 0-1 Simba SC
Wacha Wee.
Nawaza [emoji848] leo msije tafunwa tu nyie Mtani. [emoji126]
Niseme tu mwisho wenu kwenye ASFC huwa unajulikana. [emoji41]
#Standunitedpigahao.
Gide leta habari Mkuuu
Yanga mnafurahi eeh!
Nadhani kutakuwa na dakika za nyongeza kisha matuta