Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

Mi nashangaa wanatoa mechi yenye Taifa ina interest wanatuwekea mechi ya mchangani

Acha zako wewe nayo ni ya muhimu sio ya mchangani, japo na mimi sijapenda.
 
huyu Oscar Joshua mzigo kwa upande wa yanga mechi ya pili tutawaazima Hassan Kessy
 
TBC wanazingua kweli kweli.

umeona eeeh! Vitu wanavyoonyesha wakati mpira unaendelea walitakiwa waonyeshe wakati mpira umesimama.
Kamera inatakiwa iende na mpira, ila ngoja tushukuru angalau tunaiona!
 
Ina maana JF leo hakuna mtu aliyeko uwanjani kiasi kwamba hakuna updates za maana? Maana tangu tbccm wakate matangazo hakuna updates! Inaonesha.wote tunategemea matangazo ya Sued Mwinyi.
 
Ina maana JF leo hakuna mtu aliyeko uwanjani kiasi kwamba hakuna updates za maana? Maana tangu tbccm wakate matangazo hakuna updates! Inaonesha.wote tunategemea matangazo ya Sued Mwinyi.
Bado mechi ni 1-0 kwa yanga, dk ya 44 ila yanga wanapoteana sana, etoile wamewakaba yanga ktk kiungo, dilunga kafunikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…