Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimahesabu Yanga wameshatolewa na hawatakiwi kwenda kwenye match ya marudiano.
Mi nashangaa wanatoa mechi yenye Taifa ina interest wanatuwekea mechi ya mchangani
Kimahesabu Yanga wameshatolewa na hawatakiwi kwenda kwenye match ya marudiano.
Tuzya vio kwene mkombe!
TBC wanazingua kweli kweli.
Kimahesabu Yanga wameshatolewa na hawatakiwi kwenda kwenye match ya marudiano.
Mie sijawahi kuona mhaya mkuda kama wewe....kisiasa uko ccm......na hapa unaongea kama umetoboka shingo.
Bado mechi ni 1-0 kwa yanga, dk ya 44 ila yanga wanapoteana sana, etoile wamewakaba yanga ktk kiungo, dilunga kafunikwa.Ina maana JF leo hakuna mtu aliyeko uwanjani kiasi kwamba hakuna updates za maana? Maana tangu tbccm wakate matangazo hakuna updates! Inaonesha.wote tunategemea matangazo ya Sued Mwinyi.
Dk 45. Yanga 1 - 0 Etoi
wataonyesha kipindi cha pili...