Kombe la Shirikisho: Medeama yaifunga Yanga 3-1 hatua ya makundi

Cc lara 1 pole sana mama. Cha kufanya hebu leta story taaamu,uwasahaulishe wanaJangwani wenzio mauchungu.
 
Simba anagombea kombe la Ndodo, Yanga anawagawia wanaume raha...utamu.

Ni heri mjenga heshima nyumbani kuliko anayejiuza ugenini..

Mechi ijayo mtampa na kumpa tena mwarabu.... Khaaaa!!
una heshima gani nyumbani?
 
"unajua ss yang tunapata advantages moja wapo ni kupanda ndege kla mwsho Wa juma sio km wale wenzetu kla SKU bajaj tu,," muro atasema akiulizwa
 
Mkuu ushawahi kuangalia afcon? Linganisha na euro utaona tofauti.
Mkuu, Taifa Stars na klabu zake bado hazijafikia level hata ya kufuzu Afcon (and its corresponding competitions). Na kama zikiqualify mara nyingi zimekuwa zikitia aibu. Mfano mzuri ni mechi ya leo (timu ya Yanga). Yaani hadi mtu unashindwa kujipa moyo kwamba wamejitahidi..as ilikuwa ni full aibu kama vile Yanga ni timu kutoka Ndondo Cup. WaTZ lazima tubadilike, otherwise tutaendelea kushangilia timu mbovu mpaka mwisho wa dahari. Yatupasa kuemploy BRN kwenye michezo pia, muda wa maneno bila vitendo umeisha. We must say no to politics katika michezo.
 
Yanga ni timu bora maana kabla ya kufika hapo imezifunga timu ngapi?na kuziacha timu kibao zikiwa watazamaji wa haya mashindano
 
Nasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu....Yanga Afrika kilichotokea huko Ghana.......
Habari ziwafikie wanaYanga wote.....mazishi yatafanyika nyumbani kwa Marehemu mtaa wa jangwani......


Asanteni kwa kuja.....
Pole kwa kufiwa ila hustahili kuhuzunika maana mgonjwa wa kansa huwa haponagi.
 
Kosa wanalofanya yanga manji kajisahau kununua mechi za home tu, za kimataifa anashindwaje kuwanunua hao marefa bwana anakera sana
Manji anaujua vizuri mpira wa bongo, ni kuifanga tu simba na maisha yanasonga.
 
Makonda safi sana wanyonge hao majizi Chadema.

In short Makonda ndio rais wetu ajaye
 
Mwenye taarifa ya matokeo ya yanga atujuze please, tuko huku maporini .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…