Kombe la Shirikisho: Medeama yaifunga Yanga 3-1 hatua ya makundi

Kombe la Shirikisho: Medeama yaifunga Yanga 3-1 hatua ya makundi

Mechi ya mazembe chirwa na Mahadhi waliperform vzr ila cha ajabu mechi ya mediama ya dar wakapigwa benchi ...leo anaingizwa mtu aliyekuwa majeruhi muda eti ndio aanze kulikuwa na haja gani ya kumwanzisha nadir
mmeanza zengweee
 
1469551125794.jpg
 
wachezji wawili wa yANGA wapo chini kwa maumivu, dk 77
Ni aibu mkuu, almost muda wote wanaoanguka ni wachezaji wa Yanga tu. Timu pinzani ni nadra sana kuona wamezidiwa nguvu (kuanguka au kuumia). Na hali hii sio kwa Yanga pekee bali ni timu zote za TZ including Taifa Stars. Sijui tumekosea wapi. I think ni mazoezi na diet hafifu pamoja na kulewa sifa.
 
ukipata mbavu ya kushoto ya Medeama umepata mtu
 
mmeanza zengweee
Teeh teh oscar joshua eti na yeye anaanza mtu hata kutuliza mpira hajui[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] aaah sie wa mchangani tumeshinda zetu 6 hatuna tabu.
 
Hawa Madeama mbona hawafungi la 4??! Wananikera sasa, yanga watatamba sana kwa hayo matatu
 
Wamepigwa vingapi jaman mi ckuwepo
 
Teh teh kumbe jerry muro ndio alikuwa team coach wao maana tangu afungiwe na TFF vipigo tu...wamefungwa ila kwa tabu sana..
 
Back
Top Bottom