Kombe la Shirikisho: Medeama yaifunga Yanga 3-1 hatua ya makundi

Kombe la Shirikisho: Medeama yaifunga Yanga 3-1 hatua ya makundi

hiiii c ni yanga B au mpigwe tu maana hakuna namna
 
Mahadhi naye kaingia kuchukua nafasi ya Niyonzima aliyejificha kipindi cha kwanza
 
kuna mchezaji amevuta mpira kama sigara
 
maisha ya Yondani yameshakua magumu Yanga
 
Dante nahisi amewahi kuwa mwanamieleka
 
Kamusoko lazima alale na viatu leo hhii mido Azam wamelamba
 
Medeama nahisi ni kama Kauzu ya huko Ghana hata washangiliaji wanaonekana
 
dk 69 bao la wazi wanakosa Medeama
 
Wapigwe tu mdomo umezidi mno... ha ha ha Chirwa chirwa
 
Back
Top Bottom